Nimependa changudoa

ahahahhahahhahhhah yani ahsante kwa kunipe cheko la haja asubuhi yote hii!lol!
ahahahhahahhahahha watu kwa kusoma katikati ya mistari ni noumer!
shahada ya chuo kikuu mcheso?
Mhhh makubwa
 
UNDA TUME,fanya uchunguzi.then oa,ila jiandae kuletewa wateja ndani kwako.
 
Jamani lile changu sasa linanipeleka puta sasa najuta
 
ni hatari sana na ni gret lose kwa taifa km wasomi wanasoma kwa gharama zote then wanagraduate then wanakufa, inamaana ulisoma ili ufe kizembe kihiivyo
 
ni hatari sana na ni gret lose kwa taifa km wasomi wanasoma kwa gharama zote then wanagraduate then wanakufa, inamaana ulisoma ili ufe kizembe kihiivyo
Kwani wasomi wao sio binadamu?
 
Amesema nimnunulie gari na kunfungulia duka la nguo atatulia. My take vyote hvo viko ndani ya uwezo wangu

Kaka huyo mtu angekua anafanya hiyo biashara kwa sababu ya shida angeanza kupunguza baada ya wewe kuanza kuonesha nia ya kutaka ‘URAIS’ kwenye maisha yake. Lakini kama anaendeleza libeneke usiwe ‘optimistic’ sana kwamba atabadilika. Na hilo sharti la kununuliwa gari na kuanzishiwa duka la nguo bado haikupi guarantee ya kwamba ataacha mazima. Kaka maisha hayafanyiwi mazoezi, wala hayana gia ya reverse au suprementary examination. Ukichemka unadisco mazima. Kwa umri wako na kwakua mpunga (pesa) unayo, tulia tafuta mrembo wa haja zako na utampata. THAT’S MY TAKE! Lakini mwisho wa siku nahodha wa maisha yako ni wewe, ukiamua kuzamisha au kuendelea kuelea ni wewe....you gonna have only yourself to blame.
 

Heri uchomwe na mwiba mguuni kuliko uchomwe mbavuni ukiuchomoa siajabu kidonda chake kikasababisha utumbo ukatoka,
kama kweli anakupenda asingeendelea na bz yake lkn kunguru wa Z....na Bar wanapenda bia sana na hawafugiki, km unataka awe wa wt muoe, na ukipata ukimwi sema na ugonjwa wa mafua tu utapona, lkn nakushauri ukisha jua ni umeme ogopa ndugu warembo wengi sana hata Preta ametokewa na kijana naamini hii ni nyumba ya wenye kuwaza sawa sawa utawapata, tangaza nia ya kweli, lkn kama unataka kuwa kama Samson wakutoe majicho endelea, labda ni changu wa waziri wa mambo ya nanihi, ukimuoa ujuwe lazima aendelee kutumikia ajira yake ya zamani, kama hutaki endelea, lkn wako wengi sana humu warembo na hawajiuzi, achana nae dogo utapotea.
 
Hili nimelichukua kabisa
 
Nikimpata alietulia nitafurahi
 
Usioe changudoa huku unajua unaoa changu! Oa mwanamke mwenye maadili, ikiwezekana uje kugundua baadae kwamba alishawahi kuwa changu. All the best, Mwenyezi Mungu akutangulie katika maamuzi yako.
 
Usioe changudoa huku unajua unaoa changu! Oa mwanamke mwenye maadili, ikiwezekana uje kugundua baadae kwamba alishawahi kuwa changu. All the best, Mwenyezi Mungu akutangulie katika maamuzi yako.
Asante sana bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…