Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

Too much of something is harmful. Kuacha kitu fulani lazima uwe umekerwa nacho. Ninachojua mimi kuacha pombe kwa mtu yeyeote lazima itoke kwake siyio kwa kuambiwa. Kuna siku itakuaibisha ndiyo utaiacha, kwa style hiyo unayosema mpaka ku-quote mistari kwenye biiblia basi ujue wewe bado sana, you still have a long way to go, ila kwa jina lipitalo majina yote basi ujue MTU WA NNE yu karibu kuja kwenye maisha yako. Nakutakia kila kheri, MUNGU akutie nguvu na ujasiri ili uwe njia ya waonja pombe woteeeeeeeeeeeeeeee kuacha.

AMEN
 
KATIKA JINA LA YESU NEEMA YA MUNGU IKUFUNIKE UPATE KUELEWA MAANDIKO NA KIU YA POMBE IKUTOKE. Mithal 23:20,21 isaya 5:22, luk21:34, warumi 13:13,14 luka 24:45 elewa maandiko nduguyangu, unafaham ni kosa na unaendlea kutenda na unajisifia, uo ni upumbavu, KATIKA JINA LA YESU FUNGUKA
 
Ikiwa nimesema neno baya, toa ushahidi wa neno baya.....lakini kama nimenena vema kwanini waniita mpumbavu?

Anayekunywa bia na anayemwita mwenzie mpumbavu ni nani mwenye mtindio wa ubongo?
 
Yesu Ageuza Maji kuwa Divai Huko Kana
Na siku ya tatu palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya naye mama yake Yesu alikuwapo. Yesu naye alikuwa arusini pamoja na wanafunzi wake. Hata divai ilipowatindikia, mamaye Yesu akawaambia, "Hawana divai...." Naye mkuu wa meza alipoyaaonja yale maji yaliyopata kuwa divai....
 
Na hilo ndilo Neno La Mungu

Sifa kwako Eee Kristu.
 
Yesu Ageuza Maji kuwa Divai Huko Kana
Na siku ya tatu palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya naye mama yake Yesu alikuwapo. Yesu naye alikuwa arusini pamoja na wanafunzi wake. Hata divai ilipowatindikia, mamaye Yesu akawaambia, "Hawana divai...." Naye mkuu wa meza alipoyaaonja yale maji yaliyopata kuwa divai....
Embu acheni kuchakachua neno takatifu kwenye vikao vya gongo!!!

Alafu chungulia sanduku lako la barua nakutumia mzigo!!!
 
Back
Top Bottom