wewe bado hujajua tatizo lako wewe tatizo lako sio pombe ni wivu wa kimapenzi kwamba kampapasa huyu kashika nyonyo za yule hilo ndilo tatizo lako kwahiyo hivyo kama unamwona babu yako anatabia ya kupapasa nyonyo zenu ujue kabisa alikatiswa kunyonya akiwa na miaka miwili na hivyo basi itakuwa walimwonea sana walimfadhaisha sana na walimuhudhunisha sana hivyo basi akija kuwa mkubwa nataka kushika tena zile nyonyo na mara nyingine utakuta wanatakakunyonya tena lakini angeachwa mpaka akue angeacha mwenyewe na asingerudia tena, we angalia kina baba karibu wote utakuta wanapenda kushika nyonyo za kina dada na wengine kuzinyonya sasa kuna maziwa gani wanyonya huko? na hii iwe fundisho kwa akinamama kuwakatili watoto na kuwaachisha nyonyo kabla ya muda na wenginr kuwaachisha kwa kutumia pilipili ndipisa wanapokuja kupiga kikombe kidogo kinawafanya wakumbuke zamani na kuwa walikatiliwa sana na kunyimwa nyonyo na wanaanza kuzishika. swala la pili mbona mnawashutumu walevi wanaowashikashika wakinadada haswa mabarmaid wakati walevi kama mnavyo sema sio akili zao na mshikwaje je mbona anakuwa ametuli wakati akishikwa nyonyo au makalio wakati yeye ana akili zake timamu hapo mi naona wakulaumi ni yule anayeshikwa na si yule aliyekunywa pombe.