Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

Kunywa pombe si dhambi according to what I know and I do beliave it sema kibaya ni matendo yatokanayo na ulevi wako kama ulevi utakuzidi.
Also divai/mvinyo utumikao kanisani una kilevi pia.
I love you Double K, will you marry me?
 
Last edited by a moderator:
Kuna nabii mmoja aliibuka sijui kaishia wapi...alikuwa anahimiza mambo mawili, kunywa pombe na kina baba kutowatelekeza housegirls maana wanawasaidia kina mama. Nabii Tito. Ukimuona tu unajua dunia imeingiliwa
 
Hahahahahah! Ntake radhi, mimi siyo Yesu. Yeye ndie Bwana wa watu wote.

Try me then. You never know with alcohol.

Hahahahahaaaaaaa some people are more romantic wakiwa wamelewa, to you I dont know. Thanks for the chance.
 
Hapo awali msimamo wangu ulikuwa kwamba nitaacha pombe endapo tu:

1. Nimeshauriwa na daktari kwa manufaa ya afya yangu.
2: Nimeishiwa kiasi kwamba kununua bia unakuwa mzigo mkubwa

Nilishawishiwa na baadhi ya watumishi wa Mungu kuwa niache pombe, kwa kuwa eti pombe ni dhambi (imagine, eti bia ni dhambi?). Aisee walikaribia kufanikiwa mpaka nilipokutana na Neno Hili Takatifu toka katika kitabu Kitakatifu Cha Mungu. Hapa aliandika Mtakatifu Matayo katika Sura ya 11 ya Injili yake:
16"To what can I compare this generation? They are like children sitting in the marketplaces and calling out to others: 17" 'We played the flute for you, and you did not dance; we sang a dirge and you did not mourn.' 18For John came neither eating nor drinking, and they say, 'He has a demon.' 19The Son of Man came eating and drinking, and they say, 'Here is a glutton and a drunkard, a friend of tax collectors and "sinners." ' But wisdom is proved right by her actions."

HILO NDILO NENO LA MUNGU!

Leo ntakunywa bia kwa raha sana.

Ahsanteni na wikiendi njema!!!!

Kunywa lakini usichangane na jina lako, ni soo.
 
Amen kunyweni kunyweni!
 
Beer ni Muhimu kuliko hata wanawake sababu

  1. Ukienda bar unauhakika kupata beer bila hata kubembeleza
  2. Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii
  3. Unapoagiza bia unauhakika wewe ndiye wa kwanza kuifungua (huwa bikra)
  4. Unaweza shirikiana na mwenzako bila wivu
  5. Ukinywa bia hata ukojoe mara ngapi hamu haiishi
  6. Bia ni siku zote za mwezi huwa haiendi mwezini wala nyotani, na wala haina siku zake za mood
Pombeka week end hii

Nilifagilia sana pombe duuh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom