Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

aisee hebu patia ile mutu pale pumbavu tatu baridi na nusu kilo ya fuso haraka aongese upumbafu yake.... mimi tayari kisha pata B-E-E- namalizia R-esults niwahi kwa mama yeyoo😛ound:

Hahahaha...Hivi pumbavu tatu ni sawa na biya ngapi na ukizikonveti kwenye tofali zinakuwa ngapi?
 
hawa watu hawako sirias kabisa..... unajua haya ya wajinga, sijui wapumbavu nk. yana sehemu yake.... waweza kukuta mie mjinga kwa kunywa lakini kuna mwingine mjinga kwa peku...

haya bana.... mashindano ya ujinga yanaanza taratiiibu:dance:

MTM
nimeipenda hii
kila mtu anaujinga wake sio wapombe tu
kweli kabisa mtu wangu, unajua haya mambo ya starehe mabaya sana, we acha tu!!! :biggrin1:
 
pumbavu tatu ni sawa na bia tatu which is equivalent to about five bricks za pale kiboko
 
Mate, hii peku unayozungumzia hapa......ndo kunywa biya bila kutumia glasi? Na ukinywa biya bila kutumia glasi ni upumbavu au ujinga?
 
we sasa unataka kunipeleka jukwaa la wakubwa... shauri yako!!!:noidea:
 
hawa watu hawako sirias kabisa..... unajua haya ya wajinga, sijui wapumbavu nk. yana sehemu yake.... waweza kukuta mie mjinga kwa kunywa lakini kuna mwingine mjinga kwa peku...

haya bana.... mashindano ya ujinga yanaanza taratiiibu:dance:

aisee hebu patia ile mutu pale pumbavu tatu baridi na nusu kilo ya fuso haraka aongese upumbafu yake.... mimi tayari kisha pata B-E-E- namalizia R-esults niwahi kwa mama yeyoo😛ound:

hawa watu hawako sirias kabisa..... unajua haya ya wajinga, sijui wapumbavu nk. yana sehemu yake.... waweza kukuta mie mjinga kwa kunywa lakini kuna mwingine mjinga kwa peku...

haya bana.... mashindano ya ujinga yanaanza taratiiibu:dance:

MTM
nimeipenda hii
kila mtu anaujinga wake sio wapombe tu

Naamini hapo hauko siriaz....lazima utakuwa unajoke.

Kama uko serious, rudia tena kauli yako............

Hahahaha...Hivi pumbavu tatu ni sawa na biya ngapi na ukizikonveti kwenye tofali zinakuwa ngapi?

pumbavu tatu ni sawa na bia tatu which is equivalent to about five bricks za pale kiboko
Nyie watu nyie 😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:
 
kweli kabisa mtu wangu, unajua haya mambo ya starehe mabaya sana, we acha tu!!! :biggrin1:
Mkuu nataka ninunue lile Black Label la Serengeti breweries lile mtu si unakaa nalo miezi miwili
 
Samahani ejimeti, kuna bibi hapa chini kashaniweka sawa.

Eti we mbibi, ukinywa biya afu ukasahau kutumia plastic bag, inaweza kuwa upumbavu na ujinga kwa wakati mmoja?

Ukinywa biya unaweza tumia/usitumie Glass, so huwezi kuwa kati ya hayo
 
Hahaha!!! Kwahiyo mkiwa wawili na mkiwa sirias kwenye upumbavu in a day kitu kwishnei

Aisee ile ujazo wake unakaribia kufika wa ule wa chupa ya maji ya uhai ile ya lita tano

serious wawili 5 days

Upumbavu hauna ujazo....

:msela:
 
Back
Top Bottom