Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

Nyie AD na TF hili sredi la Pombe mmelihamishia kwenye mahaba?
 
hapo awali msimamo wangu ulikuwa kwamba nitaacha pombe endapo tu:

1. Nimeshauriwa na daktari kwa manufaa ya afya yangu.
2: Nimeishiwa kiasi kwamba kununua bia unakuwa mzigo mkubwa

nilishawishiwa na baadhi ya watumishi wa mungu kuwa niache pombe, kwa kuwa eti pombe ni dhambi (imagine, eti bia ni dhambi?). Aisee walikaribia kufanikiwa mpaka nilipokutana na neno hili takatifu toka katika kitabu kitakatifu cha mungu. Hapa aliandika mtakatifu matayo katika sura ya 11 ya injili yake:
16"to what can i compare this generation? They are like children sitting in the marketplaces and calling out to others: 17" 'we played the flute for you, and you did not dance; we sang a dirge and you did not mourn.' 18for john came neither eating nor drinking, and they say, 'he has a demon.' 19the son of man came eating and drinking, and they say, 'here is a glutton and a drunkard, a friend of tax collectors and "sinners." ' but wisdom is proved right by her actions."

hilo ndilo neno la mungu!

Leo ntakunywa bia kwa raha sana.

Ahsanteni na wikiendi njema!!!!

kama ambavyo sikuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuanza kunywa kopozz...ndivo ninavyokosa sababu ya msingi ya kuacha

long live tofali za kopo
 
kama ambavyo sikuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuanza kunywa kopozz...ndivo ninavyokosa sababu ya msingi ya kuacha

long live tofali za kopo
Hahahhaha....tofali zinapoahamia bar...........

.................................................. ..Inauma sana aisee..................................................
 
Hahahhaha....tofali zinapoahamia bar...........

.................................................. ..Inauma sana aisee..................................................

:hand::hand::hand:........."Hodi" ya BAR haiitikiwi "karibu"................:israel::israel::israel:

:hand::hand::hand:........."Hodi" ya BAR haiitikiwi "karibu"................:israel::israel::israel:

Tofali haziuzwi bar

.................................................. ..INASIKITISHA sana aisee..................................................
 
Anayekunywa pombe asiache kunywa bali aache mambo mabaya anayofanya akilewa. Tukumbuke kuwa si kila aliyelewa anafanya mambo mabaya, kuna watu wakilewa ni full tabasamu na vicheko mpaka familia inafurahi. Pombe ni stimulant, ina-stimulate kile ambacho tayari kipo kichwani mwa mtu...
 
kama ambavyo sikuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuanza kunywa kopozz...ndivo ninavyokosa sababu ya msingi ya kuacha

long live tofali za kopo
Kweli kabisa cr@p

Haina haja ya kutafuta sababu mwishoni, lets keep enjoying dem liquids

Leo ijumaa... sasa inakuaje?
 
hahahaaaaaa..... analeta utani kwenye pombe arifu, we acha nimtoe nyongo tu!!

..... Silence can be the loudest noise DRUNKARD CANNOT make!!!

Provocative.......

Super darling....

Imeandikwa....Usimpe pombe mfalme akaharibu hekima yake...bali pombe hupewa (kama sijasahau ni either wapumbavu au wajinga)..
kazi kwenu wanywa pombe...
 
Back
Top Bottom