Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

Kumbe ni Babu! Hapo sisemi neno! Mimi sijawahi kunywa bia ya aina yoyote tangu kuzaliwa! Infact, I hate kilevi!!
 
Kumbe ni Babu! Hapo sisemi neno! Mimi sijawahi kunywa bia ya aina yoyote tangu kuzaliwa! Infact, I hate kilevi!!
Aisee...pole sana.

Unakosa hekima na busara za pombe....unakosa kuongeza vocabularies za kiinglish pia!
 
Aisee...pole sana.

Unakosa hekima na busara za pombe....unakosa kuongeza vocabularies za kiinglish pia!
“I feel sorry for people who don't drink. When they wake up in the morning, that's as good as they're going to feel all day.
 
Mkuu umetaja bia hadi nahisi kiu,usiondoke kundini...beer tamu sana...
 
]Halafu wewe nimekumiss

Weekend imefika nasoma sbb ya kutoacha biya.
Kule Berlin unatoka kanisani mnaendaa kujadili neno la siku hiyo katika ukumbi wa kanisa
wenye kila aina ya kinywaji ikiwepo biya na wine za aina mbali mbali
bila kusahau chocolate zenye kawisky ndani.
Babu amenikumbusha mbali leo.
 
alcohol may be man's worst enemy, but the bible says love your enemy.
When we drink, we get drunk. When we get drunk, we fall asleep. When we fall asleep, we commit no sin. When we commit no sin, we go to heaven. Soooo, let's all drink and go to heaven
 
When we drink, we get drunk. When we get drunk, we fall asleep. When we fall asleep, we commit no sin. When we commit no sin, we go to heaven. Soooo, let's all drink and go to heaven

Mbinguuuuuni kuna makao mazuri sana
Mbinguni jama.....kuna makao mazuri sanaa:mod::mod::biggrin1::biggrin1:
 
Is it real you?au kina mtu kaiba pasiwedi yako?Hata siamini.......
Upo wewe? Mzima lakini yaani hujui ninavyokukosa! wamekupa nini huko mpaka unatutupa kiasi hiki? hebu twende chumbani kidogo tutete!
 
Back
Top Bottom