Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
- Thread starter
- #161
apirin
Ndio maana mimi huwa nasemaga dini ni sumu katika fikira zetu watu wanabisha na ninajua watabisha
dini zote tulizo nazo afrika zililetwa kwa makusudi ya kuharibu utamaduni wetu utamaduni wa mabbabu zetu kuwa hakuna mtu atayelala njaa kijijini kwa sababu hana chakula kwani kazi zilikuwa zinafanywa kwa pamoja na chakula kinagawiwa kwa pamoja umoja huu ulikuja kuharibiwa na hizi dini zilizoleta utamaduni wao na ndio sababu sasa kuna ufisadi watu tumegeuka si watu kwa kukumbatia fikra ambazo haziko najiuliza kwanini mitume wote walikuja mashariki ya kati na mashariki ya mbali na sio USA afrika na kwingineko why?
tuliua utamaduni wetu wa undugu wakiafrika ndio maana jirani yako hana chakula lkn wewe unatupa chakula asubuhi hii haikuwepo hapo kabla
Heko asprini big up
Kamanda umesomeka. Nakushukuru sana mdumisha mila mwenzangu. Mila lazima zidumishwe na zienziwe! MILA ZETU NA ZIDUMU!!