brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,300
Ila kuna wanaume hawapo serious kabisa.
Napenda kufuatilia dates saana hii ilinivunja mbavu.. kama una mb pita uisikilize.
Cc Sky Eclat Sakayo
Heaven Sent
[emoji28]hicho kicheko cha huyu kaka sikiwezi
Mbona kama kaka anawahi kuclose deal anataka mbunye huyu he is not even bothered kuwa step father wa watoto watatu extra [emoji1381]♀️