huska
JF-Expert Member
- May 1, 2019
- 291
- 336
hhhhhh mkuu kwenye kujibu uko sawa mhurumie jamaa. Jan ni mbali sana kuna kufa ujue.Hee, una speed ya jet![]()
mambo mazuri hayataki haraka ntakuja next year January
hhhhhh mkuu kwenye kujibu uko sawa mhurumie jamaa. Jan ni mbali sana kuna kufa ujue.Hee, una speed ya jet![]()
mambo mazuri hayataki haraka ntakuja next year January
Upo peke yako darling.... Kuna raia zinataka kutugombanishaBaby tupo wangapi humu nijue mapema!?
Poa poaNzuri tu, kama ilivo kwako
MmmhhhAisee siku hizi hakuna mwema, uwe baharia ama injinia, uwe JF ama FB, uwe cutie ama HB, uwe dhahabu ama mkaa, wote matapeli tu. Mapenzi yanavyoanza lazima yawe matamu, lakini mwisho wake sasa ndo kiboko tena cha majini.













Mimi:Kesho ukimaliza pepa una ratiba gani Yeye:Naenda Bagamoyo kwa ancle wangu Mimi:Then after Yeye:Baada ya hapo Nitaenda home (Bk) Mimi:Muda mrefu hatujaonana...hhhhhh mkuu kwenye kujibu uko sawa mhurumie jamaa. Jan ni mbali sana kuna kufa ujue.
,mkuu wewe ile nahau ya haraka haraka haina baraka ilikupita kushotoo,Jan si mbali lakini only 3 months to go, afu nimeambiwa hii ni I'd yake nyingine