Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Ohooo samaki mwingine huyu amekutana na baharia ,tumpe mwezi tu atarudi hapa analialia na hizo ngonjera zake zote zitakuwa vice versa.
Mambo mengine mtuulize sisi kwanza tuwape experience.
Mimi niko hapa kwa atakayezidiwaMara paaap uzi ungebadilika hali ya hewa![]()
Sitaki damu zinirukie mimi jamani..
Hali ni mbaya G kawa G kweliiii




Ndiwooo
Mnataka kuchomoa betri hapa hapaa


si unajua maisha mafupiTumuulize huyo G yupo nae sasa hivii?
Swali la mwishoo![]()









Mwenye G kashaleft tayari dadaDada usitukimbie suluhisha mambo![]()
Hahahahahaha
Lakini anaishi Dar
Eee hapa hapa wambea wafurahiisi unajua maisha mafupi








Mkuu tumpeni pole dada yetu.
OooohhHaishi Dar wangu
G wake yuko mwanza kikazii
Mwenye G kashaleft tayari dada
Hilo halina ubishi,hata Shunie mwenyewe analijua hilo.Ewaaaaa
Usiniambie tunapoteza mb
Tutaambia nini watu eti
Mwambieni mwenzenu mapema kabla mambo hayajaharibika.Hahaha
Hahahahahah chizi wewe
Jamani nilikuwa nabebika ili baby G alale kazidiwa leo na usingizi, G wako vipu kashalala??Atakuwa anapata dudu la yuyuuu
Tuseme shunie kanitelekezaa