Nimepata mpenzi Jf

Nimepata mpenzi Jf

Nakushauri mkiwa na Baby hakikisha PICHA isiwe utamaduni wenu..usipendelee sanaaa kupiga piga mapicha maana IPO siku picha yako mwenyewe utakua unaiogopa.
 
Tunamaanisha mdada na hatuna utani kwenye hili hususani mimi sipendi ujinga ujinga kabisa. Na nakemea vikali wanaume wote wa humu wanaotania tania wanawake warembo kama wewe.
vioja vinavyokutana navyo pm sijui ni mtu mmoja ananichezea na id mbali mbali
 
Kama kweli vileee
 
Umesababisha nicheke kwa nguvu
Nakushauri mkiwa na Baby hakikisha PICHA isiwe utamaduni wenu..usipendelee sanaaa kupiga piga mapicha maana IPO siku picha yako mwenyewe utakua unaiogopa.
 
vioja vinavyokutana navyo pm sijui ni mtu mmoja ananichezea na id mbali mbali
You're so irresistible... usibanie moyo kitu unataka muda mwingine tunakosa vinono kwa kuogopa athari ambazo kimsingi hazina uzito.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom