Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 869
- Thread starter
- #401
Nipo mydia Habari za siku nyingivzuri..wee mwenyewe umenitenga

Kumbe ni tatizo la wengi.Halafu nipo kama kipofu sipati notification mie
Hata mie sipatiHalafu nipo kama kipofu sipati notification mie
Kumbe ni tatizo la wengi.
Nilijua peke yangu yaani mpaka nirudi kwenye threadHata mie sipati
Yaani naotea tuu
Nzuri tu, kama ilivo kwakoNipo mydia Habari za siku nyingi
1. Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu,mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi wa hapa jf
2.Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi,nywele zake ni za ukoka,nyeusi ti kama kunguru.
3.Macho yake ni kama ya hua kandokando ya kijito,ni kama njiwa waliooga maziwa kando ya kijito.
4.Mashavu yake ni kama matuta ya rihani, kama bustani iliyojaa manukato na manemane.
5.Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu
6.Miguu yake ni kama nguzo za alabasta
7.Kinywa chake kimejaa maneno matamu,kwa ujumla anapendeza.
Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu,naam, ndivyo alivyo rafiki yangu,enyi wana Jamii forum
#Honey najua utapita hapa '
asante kwa kuniona katikati ya wengi, asante kwa upendo unaonipa, Nakuahidi heshima na unyenyekevu, nitakuwa faraja yako wakati wa majonzi, Msaidizi wako wakati wote, Aibu yako itakuwa aibu yangu, shida yako shida yangu, nitakuwa mshauri asiyechoka, Nitakuwa heri kwako siku zote za maisha yetu, Asante kwa kunipenda
#LoveIsSomethingElseWeeSikiaTuKwaJirani
Yeah la wengi mnooo.. Mimi Pia ni mhanga wa hilo jamboKumbe ni tatizo la wengi.
Acha niwe mpuvati tuUoga wako ndo "upuvati" wako ,![]()
Niko POA sijui wewe...
, puvatiiiWoooiiiNilijua peke yangu yaani mpaka nirudi kwenye thread
asante kwa wimbo ulio bora1. Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu,mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi wa hapa jf
2.Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi,nywele zake ni za ukoka,nyeusi ti kama kunguru.
3.Macho yake ni kama ya hua kandokando ya kijito,ni kama njiwa waliooga maziwa kando ya kijito.
4.Mashavu yake ni kama matuta ya rihani, kama bustani iliyojaa manukato na manemane.
5.Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu
6.Miguu yake ni kama nguzo za alabasta
7.Kinywa chake kimejaa maneno matamu,kwa ujumla anapendeza.
Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu,naam, ndivyo alivyo rafiki yangu,enyi wana Jamii forum
#Honey najua utapita hapa '
asante kwa kuniona katikati ya wengi, asante kwa upendo unaonipa, Nakuahidi heshima na unyenyekevu, nitakuwa faraja yako wakati wa majonzi, Msaidizi wako wakati wote, Aibu yako itakuwa aibu yangu, shida yako shida yangu, nitakuwa mshauri asiyechoka, Nitakuwa heri kwako siku zote za maisha yetu, Asante kwa kunipenda
#LoveIsSomethingElseWeeSikiaTuKwaJirani
Kila siku nikiamka na kabla sijaenda kulala. Mwaka huu nilipanga kuisoma yote na sasa nipo Injili ya Yohana. Nikiongeza spidi nadhani nitaimaliza kabla mwaka haujaisha. Wewe husomagi?Aha...kumbe ndio maana niliona bible ikinijia kichwani baada ya kusoma. Hayo maneno siyo ya kawaida.
Unasoma sana bible?
100% wema ndo hulizwa mkuuWapo mabaharia kama wote jf, lakini pia kuna watu wema, usiconclude kwa namna wewe ulivyo basi wote wapo hivyo, generalization ndo inafanya hata watu wema kuonekana wabovu
Kama baharia hata mtaani wapo
So no matter ni wapi umekutana na mtu, mtu mwema atabaki kuwa mwema na baharia baharia ova
Ni wivu Tu, niache kwani nikijinyonga hasara kwa nani
![]()
Umemshusha sana hadhi huyo mwanaume,1. Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu,mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi wa hapa jf