Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,773
- 40,444
natamani tufike huku ila wewe ndio unaniangusha KigoriHongera sana my dear!
Mungu akulindie, mpendane na mheshimiane na baadae muwe mke na mume!
natamani tufike huku ila wewe ndio unaniangusha KigoriHongera sana my dear!
Mungu akulindie, mpendane na mheshimiane na baadae muwe mke na mume!
Sanaa yako ya maneno ni nzuri. Kwanini tusiandike bible mpya tuseme tumeoteshwa kisha tuwapige mazuzu hela hapa mjini?

HaswaaaUkisikia uchawi ndo huu sasa!
Wewe baki na ubaharia wako, wanaume waamifu wapo jf, tena wengi sana!
Cc@Njopino
Amen diaHongera sana my dear!
Mungu akulindie, mpendane na mheshimiane na baadae muwe mke na mume!
Ushauri mzuri nitaufanyia kazi
Sasa jokes tenaJamani ndo mimi ninayezungumziwa...I love u toooo my sweetheart (jokes)
SawaKaribu katika ulimwengu wa mapenzi,mwanzo huwa ni mtamuuuu...na siku zinavyozidi kwenda ndio changamoto huwa ni nyingi...kudumu kwenu itategemea na ukomavu wenu
Mbona emptyBora amepatikana wa kujivisha mabomu kukusitiri...
Bora amepatikana wa kujivisha mabomu kukusitiri...

Dadeq jf ukisoma comments ukiwa na stress utakufaMwezi wote huo? Wiki mbili tu zinatoshaOhooo samaki mwingine huyu amekutana na baharia ,tumpe mwezi tu atarudi hapa analialia na hizo ngonjera zake zote zitakuwa vice versa.
Mambo mengine mtuulize sisi kwanza tuwape experience.
Simjazi walaaWewe mjaze tu mwenzio
Mtaje jina mkuu...Sawa
Baby wangu njoo usomr hii muhimu
Naunga mkono Mada.Ukisikia uchawi ndo huu sasa!
Wewe baki na ubaharia wako, wanaume waamifu wapo jf, tena wengi sana!
Cc@Njopino
Hahahahahaha
Wewe apo ndo tatizo... huridhiki kabisaa my dear!natamani tufike huku ila wewe ndio unaniangusha Kigori