Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 869
- Thread starter
- #301
Mungu akishanitangulia siwezi rudi nikilia
Kila la kheri naMungu akutangulieee ila usilud unaliaa
Kila la kheri naMungu akutangulieee ila usilud unaliaa
Atakuwa anapata dudu la yuyuuu
Tuseme shunie kanitelekezaa
Shunie ako na mdondo, anaumwa




fwala wewe acha nilale mie hivi wewe sakayo si ulisema tuleft tukalale mimi sirudi tena Dina ana amani sasa sio G wake
Ebu niambie auntie yangu ugonjwa gani huoAuntie unaumwa nini? Maana ugonjwa wako naujua.
Ziko wazi
Sio zote zimefungwa mkuu
Hahahaha, hapo kulenga kwa 'manati'Wacheka nini
Tatizo la humu mabaharia hatupewi kipaumbele alipaswa kuchukua ushauri kwetuOhooo samaki mwingine huyu amekutana na baharia ,tumpe mwezi tu atarudi hapa analialia na hizo ngonjera zake zote zitakuwa vice versa.
Mambo mengine mtuulize sisi kwanza tuwape experience.
Mtoa uzi jinsia yako ni ipi?1. Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu,mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi wa hapa jf
2.Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi,nywele zake ni za ukoka,nyeusi ti kama kunguru.
3.Macho yake ni kama ya hua kandokando ya kijito,ni kama njiwa waliooga maziwa kando ya kijito.
4.Mashavu yake ni kama matuta ya rihani, kama bustani iliyojaa manukato na manemane.
5.Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu
6.Miguu yake ni kama nguzo za alabasta
7.Kinywa chake kimejaa maneno matamu,kwa ujumla anapendeza.
Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu,naam, ndivyo alivyo rafiki yangu,enyi wana Jamii forum
#Honey najua utapita hapa '
asante kwa kuniona katikati ya wengi, asante kwa upendo unaonipa, Nakuahidi heshima na unyenyekevu, nitakuwa faraja yako wakati wa majonzi, Msaidizi wako wakati wote, Aibu yako itakuwa aibu yangu, shida yako shida yangu, nitakuwa mshauri asiyechoka, Nitakuwa heri kwako siku zote za maisha yetu, Asante kwa kunipenda
#LoveIsSomethingElseWeeSikiaTuKwaJirani

ndioKipepe unamjua kwani huyu dada
Hahahaha, hapo kulenga kwa 'manati'
Dhakari ni nini
Hahahaha, asee si mchezoYaan wengi mafurushii
Aha...kumbe ndio maana niliona bible ikinijia kichwani baada ya kusoma. Hayo maneno siyo ya kawaida.Amekopi kila kitu kutoka katika Wimbo Ulio Bora. Matirio ya Mfalme Suleiman hayo...