Breki ya Kenge
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 715
- 1,006
Tupo sana tu, karibu pmWishing you all the best, mtimize malengo mlojiwekea, kumbe wapo wastaarabu humu ngoja nipandishe Uzi na Mimi nijipatie husband material (not so serious)
Tupo sana tu, karibu pmWishing you all the best, mtimize malengo mlojiwekea, kumbe wapo wastaarabu humu ngoja nipandishe Uzi na Mimi nijipatie husband material (not so serious)
Ahaaaaa bro. Ushauri wako ulionipaga nimeuzingatia japo sikuizi umenisusaHii mistari ni ya kitabu cha
Wimbo ulio bora
Sawa mdau hongera
KabisaUsiwaombee hivyo huwenda ikawa mapenzi yao yakadumu milele
AsanteMimi nakutakia kila lenye baraka, mjitahidi sana kuweka mambo yenu private, asijue mtu hata kama mnapitia magumu, especially humu.
.. lakini nasisitiza, mpeane tunda la adam ili mjuane vizuri, tunda ni tamu kama linatosha, tunda ndio kiunganishi cha maisha yenu. Peaneni na msinyimane...
Hata weweeeee?????mabaharia ngapi hii?
Kwamba hajaonja? Mmmh!!Asante
Kipengele cha pili cha ushauri, naendelea kukitafakari
😂😂😂😂Hata weweeeee?????
Huyu mwanaume ni wa kumnunulia gunia mbili za mkaa
Mie nilimshindwa kwa kweliHuyu mwanaume ni wa kumnunulia gunia mbili za mkaa
Ukisikia uchawi ndo huu sasa!
Wewe baki na ubaharia wako, wanaume waaminifu wapo jf, tena wengi sana!
Cc@Njopino
Kabisaaa dearWapo sana ukiacha na hivi vitoto vya juzi juzi jf
Karibu katika ulimwengu wa mapenzi,mwanzo huwa ni mtamuuuu...na siku zinavyozidi kwenda ndio changamoto huwa ni nyingi...kudumu kwenu itategemea na ukomavu wenu
Naunga mkono Mada.
Waache kujumlishia wenzao waaminifu waliopo humu.
Kuna Watu wema, wazuri wenye sifa zote humu ndani.
Ngoja Hadi tufunge ndoa ndio wataamini Kama humu Kuna wanaume sio wajinga
Mi kuna watu wanaombea hii kitu ila ni kama wananibariki![]()


ona sasa huyo alipotokea kuwatilia nuksi wenzake eti “mtaachana tu”🤣Breki ya kenge duuh, hivi utakua husband material Kwa hili jina kweliTupo sana tu, karibu pm
