Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 4,212
- 5,539
Punguza uoga [emoji23][emoji23]Breki ya kenge duuh, hivi utakua husband material Kwa hili jina kweli[emoji3] [emoji3]
Punguza uoga [emoji23][emoji23]Breki ya kenge duuh, hivi utakua husband material Kwa hili jina kweli[emoji3] [emoji3]
EwalaaaaNi kweli kabisa,muhimu ni hata katikati ya changamoto hizo asisahau utamu wa mwanzo
Brenda, unataka kuniambia baba chanja ulimpatia humu+??Ifike stage uzi wa jf members waliooana uanze ili hawa wakuja waelewe [emoji1787]
Ishukuriwe jf ilinikutanisha na ubavu
Hahahhaa mambo ya insta wanaleta hukuNdio maana hutakiwi kuweka mahusiano yako public wahenga wanamaana [emoji28][emoji28][emoji28]ona sasa huyo alipotokea kuwatilia nuksi wenzake eti “mtaachana tu”[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mahabaria kaziniOhooo samaki mwingine huyu amekutana na baharia ,tumpe mwezi tu atarudi hapa analialia na hizo ngonjera zake zote zitakuwa vice versa.
Mambo mengine mtuulize sisi kwanza tuwape experience.
Brenda asante mamy, nimelichukuwa kama lililoon a serious note kabisa kama Elly alivyosema nakazia poteza contacts zote za wana jf usiseme chochote kwa mtu yoyote sijui ana gari zuri anaishi pazuri atanyakuliwa usiamini[emoji1787]
Na yeye pia I hope ni mtu anajielewa hana magroup huko watsap ya watu wa jf
Tembeeni safari yenu wawili kuna wakati mgumu mtapitia usithubutu kumsimulia mtu wa humu[emoji4]
Namshangaa sana mkuu ...anaogopa jina tuPunguza uoga [emoji23][emoji23]
[emoji849][emoji849][emoji849]Hapana mkuu...mimi nilishakosa mchuchu hapa.
Labda unipigie pande mzee
Ngoja nilazimishe kuelewaElewa kwamba Shetani hana uwezo wa kumuingia Mwanaume bila kupitia kwa Mwanamke,
Ndo maana tunasema kusingekua na wanawake Duniani basi wanaume wote tungeenda Peponi
KAMA HUTAKI KUELEWA BASI
Hahaaa, uoga unaokoa sometimes ,mtu anaitwa kenge's brake[emoji30] , how are you first born!Punguza uoga [emoji23][emoji23]
Umewaona ehhhe[emoji23][emoji23][emoji23]Mahabaria kazini
Hasara kwa mabaharia tunaosubiria on strandsNi wivu Tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji4], niache kwani nikijinyonga hasara kwa nani[emoji1][emoji1]
[emoji119][emoji119]Hasara kwa mabaharia tunaosubiria on strands
Eee sitaki mambo ya blaa nataka nae awe na amani [emoji23][emoji23][emoji23]
Changamsha genge tu najua sio wangu maana majina yanayoanzia na G ni mengiiii halaf G sio la humu la humu anaanzia M
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]M [emoji849][emoji849]
Nawapendaga hii couple[emoji106]