Nimepata mpenzi Jf

Nimepata mpenzi Jf

Jamani nilikuwa nabebika G kazidiwa na usingizi leo kama na huyo wako amekuaga imekula kwako

Nimemwambia baby nachart kidogo jf, kasema sawa but take care jamani nahisi kuzimia yani hiyo tu take care i feel so lovely

Mi wangu kwao mchana saa hii na sio usiku kuwa na amani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila la kheri na
1. Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu,mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi wa hapa jf

2.Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi,nywele zake ni za ukoka,nyeusi ti kama kunguru.

3.Macho yake ni kama ya hua kandokando ya kijito,ni kama njiwa waliooga maziwa kando ya kijito.

4.Mashavu yake ni kama matuta ya rihani, kama bustani iliyojaa manukato na manemane.

5.Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu

6.Miguu yake ni kama nguzo za alabasta

7.Kinywa chake kimejaa maneno matamu,kwa ujumla anapendeza.

Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu,naam, ndivyo alivyo rafiki yangu,enyi wana Jamii forum

#Honey najua utapita hapa '
asante kwa kuniona katikati ya wengi, asante kwa upendo unaonipa, Nakuahidi heshima na unyenyekevu, nitakuwa faraja yako wakati wa majonzi, Msaidizi wako wakati wote, Aibu yako itakuwa aibu yangu, shida yako shida yangu, nitakuwa mshauri asiyechoka, Nitakuwa heri kwako siku zote za maisha yetu, Asante kwa kunipenda

#LoveIsSomethingElseWeeSikiaTuKwaJirani
Mungu akutangulieee ila usilud unaliaa
 
babe usinitaje jina viranga watanisumbua inboksi
 
Back
Top Bottom