Nimepata mchumba au kombora?

mungu Mkubwa mm sijawahi kukutana na machola hadi kuona elfu 50 ni pesa nyingi, tho siwezi kukosa nauri. ila wewe kaka bahili unashindwa kutuma 50? dah what kind of a man? aibu
Tatizo sio kutuma hiyo 50 bana

Dada kachemka
 
kwanini usimfate mbona wanaume mnapenda mambo rahisi sana,kuna mmoja aliniambia eti atachukua chumba hotelini tukaongee humo .kuna watu wanautani sijui roho mbaya? tena yupo humu akinisoma ataelewa
Mtaje tumsute[emoji126] [emoji126]
 
"....maana mwingine ni black"
Hivi unajiskiaje kuandika maneno kama hayo humu?
 
Huo ulokole wake umeuthbitsha Vp jombaaa????
Mara kwa mara anasema yupo kwenye maombi hasa jumamos na juma5 jion na alisema kbs ameokoka na alianza taratibu kunishawishi niokoke ili nimwoe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…