Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Huyo vzi nilishamtupia kwenye ignore list kitambo hata anachoandika huwa sikioniYaani usipotutaja sie basi siku yako haijakamilika.
Mganga wako kiboko....unateleza tu na nyota zetu.
Evelyn Salt anajiandaa na ndoa....hebu muache apumzike, tusije anguka madhabahuni bure kisa Konda wa bodaboda
Tuma haraka!Miezi kadhaa nilipost hapa nikitafuta mchumba wa kuoa
Nikapata kama wadada wawili,ktk kuchuja kwangu nikampenda mwenye rangi nyeupe maana mwingine ni black,
Tumechat whatsapp kwa miez sasa bila kuonana lkn tunatumiana picha mbalimbali aidha tupo kazini au nyumbani,
Jana tulipanga appointment ya kuonana na mimi nisingeweza kumfata aliko ila akaomba nimtumie elfu 50 achukue taxi mpaka nilipo,
Sasa nipo dilema najiuliza hivi nitume kweli 50 au niache maana moyo una 6 au ni mhuni maana?
Hapa mjini!
Naanzaje kwa mfano
Duu! ndo unaolewa?Huyo vzi nilishamtupia kwenye ignore list kitambo hata anachoandika huwa sikioni
Unajuaje ka hajakuanzishia thredi humu?!Lakini mie naona alichofanya huyo mwabamke ni sawa tu.
Kama ulizoea kujisifu mbele yake...utegemee vizinga.
Ila mbona mie huwa nachukua tax mpaka Kibaha na wala mtu wangu halalamiki?
Ni huu usawa au?
NaoaDuu! ndo unaolewa?
Yawezekana!Kitakua ulimwengu mwingine sio sayari hii
Na nani au unataka unikamue weweWe mwenyewe unakamuliwaga Sana tu
HujampendaTunatofautiana uchumi yeye kama anapanda taxi hadi chalinze au mpaka bagamoyo mi level zangu ni daladala ndo maana nimeshindwa atampata anaeweza kumpatia hiyo 50 ya taxi
Anajitia ashuo la papa, kuparwa hadharaniHuyo vzi nilishamtupia kwenye ignore list kitambo hata anachoandika huwa sikioni
Haijui Jf tangu atolewe labourUnajuaje ka hajakuanzishia thredi humu?!
Yani hapo unapigwa live asikudanganye mtu cjui mapenzi kamali achana nae huyoo mm ningeshamtumia hivi viemoji vya dole la katiBora vempire huyo ni zombie kbs ila anisamehe tu
Halaf kuna namba ngeni zimeanza kunipigia mfururizo au ndo yy maana nimemblock
Pole....acha wenye nazo watumie naeTena sasa nimemchukia kama mvua kunyesha maeneo ya tandale