Dr Luu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 999
- 905
Hata wewe 😀😂Ukome!
Hata wewe 😀😂Ukome!
Matibabu yalitakiwa kwa wote wawili,Ni wiki 3 sasa tangu nimekutana na mwanamke na hii ni baada ya kupima nae kabla na kukuta hana maambukizi, baada ya siku kadhaa nilikutana nae baada ya kumuamini na ndipo nilipo ona usaa kwenye uume wangu, nilienda hospital nikaanzishiwa Ceftriaxone na tabs Ciproflaxin pamoja na Dox.
Nimetibiwa lakini mpaka sasa napata maumivu kwenye urethra na nikikojoa napata maumivu japo usaha umeacha kutoka naombeni ushauri hali sio poa.
vip hari yako mkuu, umepona au bdo unachafua boksaKisonono ni ugonjwa wa kishenzi sana
Aliamua kupona na kukaa kimia, apunguze kutaman jicho sometimevip hari yako mkuu, umepona au bdo unachafua boksa
hahahaha shida mlimchamba hadi ikapelekea kupona automatic.Aliamua kupona na kukaa kimia, apunguze kutaman jicho sometime