Nimepata kisonono kizembe sana naomba ushauri

Ni wiki 3 sasa tangu nimekutana na mwanamke na hii ni baada ya kupima nae kabla na kukuta hana maambukizi, baada ya siku kadhaa nilikutana nae baada ya kumuamini na ndipo nilipo ona usaa kwenye uume wangu, nilienda hospital nikaanzishiwa Ceftriaxone na tabs Ciproflaxin pamoja na Dox.

Nimetibiwa lakini mpaka sasa napata maumivu kwenye urethra na nikikojoa napata maumivu japo usaha umeacha kutoka naombeni ushauri hali sio poa.
Dozi ya kizaman sana alaf nowadays madawa haya feki n mengi sana madokta weng wa kibongo wamekariri hzo dawa but nowadays performance yake n ndogo sana... sku ingne unamwambia mhudum wa afya akupige POWERSAFE 200mls (moja tu) ,azuma za rangi ya pink zpo kwenye kopo la kawaida (3×2) na vidonge 2 tu vya kusafisha njia ya mkojo hapo unakuwa new kabsa mm sio dokta uzoefu tu mjini
 
Ceftriaxone sindio powersafe?
 
Hivyo vipimo vya kununua maabara kujipima vitawaua sana...
Yaani ndio imekuwa fashion, mtu anaamini kabisa akimpima mwenzake basi anajiachia hata condom hatumii..

Mtu akiwa na maambukizi ya karibuni kipimo hakiwezi tambua, kuna watu window period hadi miezi 6.. kipimo hakioni chochote...

Sasa unajichanganya na vipimo vyako...

Vaeni condom wazee, mtapukutika sio poa.. huwezi mpima mtu na hivyo vi antibody test kit ukamumini 100%...
Jiandae kubugia njugu tu.. maana mkiambiwa tumieni condom hamsikii...
 
Dozi ya kizaman sana alaf nowadays madawa haya feki n mengi sana madokta weng wa kibongo wamekariri hzo dawa but nowadays performance yake n ndogo sana... sku ingne unamwambia mhudum wa afya akupige POWERSAFE 200mls (moja tu) ,azuma za rangi ya pink zpo kwenye kopo la kawaida (3×2) na vidonge 2 tu vya kusafisha njia ya mkojo hapo unakuwa new kabsa mm sio dokta uzoefu tu mjini
Alafu hizo dawa za kusafisha njia ya mkojo ndio zipi?
 
N bahati mbaya, usimuache huyo demu safari hii ukikutana nae mzamie chumvini huku mkisubiri dawa zizidi kufanya kazi vzr
 
Ni wiki 3 sasa tangu nimekutana na mwanamke na hii ni baada ya kupima nae kabla na kukuta hana maambukizi, baada ya siku kadhaa nilikutana nae baada ya kumuamini na ndipo nilipo ona usaa kwenye uume wangu, nilienda hospital nikaanzishiwa Ceftriaxone na tabs Ciproflaxin pamoja na Dox.

Nimetibiwa lakini mpaka sasa napata maumivu kwenye urethra na nikikojoa napata maumivu japo usaha umeacha kutoka naombeni ushauri hali sio poa.
Umechoma sondano siku ngapi?
 
Back
Top Bottom