Nimepata kisonono kizembe sana naomba ushauri

Nimepata kisonono kizembe sana naomba ushauri

Hivyo vipimo vya kununua maabara kujipima vitawaua sana...
Yaani ndio imekuwa fashion, mtu anaamini kabisa akimpima mwenzake basi anajiachia hata condom hatumii..

Mtu akiwa na maambukizi ya karibuni kipimo hakiwezi tambua, kuna watu window period hadi miezi 6.. kipimo hakioni chochote...

Sasa unajichanganya na vipimo vyako...

Vaeni condom wazee, mtapukutika sio poa.. huwezi mpima mtu na hivyo vi antibody test kit ukamumini 100%...
Jiandae kubugia njugu tu.. maana mkiambiwa tumieni condom hamsikii...
Mkuu vile vipimo vya kuweka kwenye meno 🤣
 
Kuna jamaa alikuja na picha ya pipe akiomba ushauri, na bahati mbaya sana wadada walianza kusifia dude bada ya kutoa ushauri....🤣
Pole sana mkuu, nenda ukaukate huo mkia wa mbele, utakuja kunishukuru 😜
 
matatizo ya kuwa viboo vya kutolea bikra gozi(kondom) zinapwaya ,na mpaka sasa una asilimia 95 acquired
 
🤣🤣 Bangi hizi, alaf wanaume wapata Gono huwa nibwengi sana sema tu hawajisemi.
 
Kuna jamaa alikuja na picha ya pipe akiomba ushauri, na bahati mbaya sana wadada walianza kusifia dude bada ya kutoa ushauri....🤣
Pole sana mkuu, nenda ukaukate huo mkia wa mbele, utakuja kunishukuru 😜
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😀😀😁😶😶
 
matatizo ya kuwa viboo vya kutolea bikra gozi(kondom) zinapwaya ,na mpaka sasa una asilimia 95 acquired
Sio kila anae pata Gono anapata ngoma usikalili maisha, kwan ni wangapi mpaka sasa walipata Gono na hawajawa Acquired?
 
Maliza dozi bado una inflammation kwenye mirija/ urethra. Wasiliana na doctor ukamilishe dozi ingekua haujatumia dozi hizo ningesugest dawa ambayo huwainatibu haraka kuliko hizo ulizo tumia. 🙏
 
Back
Top Bottom