kisonono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Haya ni mambo muhimu ya kuzingatia unapotumia dawa za magonjwa ya mfumo wa mkojo na sehemu za uzazi kama UTI, kisonono (gonorrhea) na kaswende (syphil

    . Epuka kufanya ngono hadi matibabu yakamilike na daktari athibitishe kuwa ni salama, ili kuzuia kuambukiza wengine au kuambukizwa tena. Hii watu wengi hupuuzia lakini imekuwa ikifanya watu wengi kutokupona kabisa maana unapokuwa unatumia dawa hata wale bakteria walinzi wanakuwa wanazidiwa na...
  2. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi yaongoza kwa kaswende na kisonono

  3. Grau

    JamiiForums Tanzania Nimepata kisonono kizembe sana naomba ushauri

    Ni wiki 3 sasa tangu nimekutana na mwanamke na hii ni baada ya kupima nae kabla na kukuta hana maambukizi, baada ya siku kadhaa nilikutana nae baada ya kumuamini na ndipo nilipo ona usaa kwenye uume wangu, nilienda hospital nikaanzishiwa Ceftriaxone na tabs Ciproflaxin pamoja na Dox. Nimetibiwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Uingereza Kuanza kutoa chanjo ya Kisonono (Gonorrhoea)

    Uingereza imeanza kutoa chanjo ya kwanza duniani dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Gonorrhoea ambayo yamefikia viwango vya juu. Chanjo hiyo itatolewa kwa makundi ya watu walio hatarini zaidi haswa wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na wale wenye historia ya kuwa na mpenzi zaidi ya...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kifaduro na kisonono cha wakataa ndoa, zimwi la kuogopwa sana kwenye jamii

    Baadhi najua wanafahamu kisonono ninini... Huu ni ugonjwa wa zinaa unaoathiri sehemu za siri.. Ni dugu moja na kaswende na gono.. Ni magonjwa ya aibu na baadhi hujitibia kwa siri.. UTI ni gono lililochangamka😂 Kifaduro ni ugonjwa wa kifua.. Sio ugonjwav wa aibu na hauna kificho.. Kwakuwa hata...
  6. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

    Nilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja. Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

    Wakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu. Na pia uume wangu unatoa usaha rangi ya njano kila muda. Nimetumia AZUMA vidonge vitatu lakini bado sijaona dalili ya kupona NA HIZO DAWA NIMEMALIZA JANA. Nini...
Back
Top Bottom