Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,006
Hichi kitu watu wengi wanasaau sana kujiuliza. Mimi nilimaliza chuo 2015 na sikupangiwa kazi na serekali na hadi sasa nipo secta binafsi nikweli kuna changamoto zake ila pia pesa ipo na ukiweka malengo vzr unajikuta umefika mbali na umejiajiri maana unakua huna uhakika na mkataba mwingine so unakua na mpangilio mzur wa pesa. Serekalini watu wanakimbilia assurance ya kazi ila ni ulemavu sana kujua siku zote upo kazini hufukuzwi kirahisi. Unakuta mtu ana staafu ndo anawaza kujenga au kujiajiri na mafao . Changamoto za secta binafsi zinatukomaza sana kufikiri na kutaka kuwa na vyetuMaisha sio kazi peke yake, Angalia na malengo yako mengine baada ya miaka kadhaa, angalia kipato unachoacha na kile unachoenda kupata, angalau uhuru wako wa kazi kwa sasa, chunguza uhuru utakaokuwa nao kwenye hiyo kazi unayotaka kuiendea, angalia mafanikio yako na malengo yako kwa sasa linganisha na miaka kadhaa baadaye, mfano mpaka sasa umeachieve nini? Baada ya miaka 3 au minne utakuwa wapi kwenye kazi hii, na hiyo utakayoenda kuifanya future yako ikoje?
KAZI POPOTE.