Nimepata kazi mshahara baada ya makato yote 250k

Hata Ukipewa Tsh 500,000 Bado Utaona ni Ndogo Mnoo
Mweeh

Mshahara mdogo yaan mpaka unajiuliza hivi hawa waajiri wanawaza nini
Wao wanaangalia kima cha chini cha mshahara wa serikali, Tsh 150,000 tena hata hiyo Tsh 250,000 Ni Kama Wamekusaidia.
Maana wanaweza kukulipa Tsh 170,000 na usiwapeleke popote
[/QUOTE]
Hata Ukipewa Tsh 500,000 Bado Utaona ni Ndogo Mnoo
 
Hata Ukipewa Tsh 500,000 Bado Utaona ni Ndogo MnooWao wanaangalia kima cha chini cha mshahara wa serikali, Tsh 150,000 tena hata hiyo Tsh 250,000 Ni Kama Wamekusaidia.
Maana wanaweza kukulipa Tsh 170,000 na usiwapeleke popote
Hata Ukipewa Tsh 500,000 Bado Utaona ni Ndogo Mnoo[/QUOTE]Ni kweli mkuu, hela haijawahi kutosha
 
hongera, hali ya maisha inatufanya tukubali chochote kinachokuja kwenye sahani. mimi sina utaalamu kwenye hr, lkn pima ujue hiyo nafasi hapo kwenye hiyo kampuni inakupa nafasi ya kuinoa vizuri karia yako wakati wa kutekeleza majukumu yako in terms of soft and hard skills.
 
Leo nimeitwa kazini katika kampuni fulani hivi, wakanipa mkataba wa kazi mshahara baada ya makato yote ni Tsh 250,000/= sikua na namna nikasaini tu ule mkataba. Kikubwa ni kujifunza na kupata uzoefu maana ndio ajira yangu ya kwanza.

Elimu yangu ni shahada ya rasilimali watu.
Katika maisha yako tambua hili
Ni kazi sana kupata kazi kama huna kazi. Hivyo basi ukiomba kazi wakati ukiwa kazini kuna utofauti na yule anaeomba kazi wakati hana kazi.
 
Kama wewe ni Me, ukiona umeshakwama kimaisha, tafuta dem mbaya mbaya ila mwenye kazi yake ya maana umuoe (infact, akuoe) upate mteremko wa maisha.. Madem wakali utakuwa unabonyeza kizenji mdogo mdogo huko nje ( I didnt say this.. Dont quote me)
Kuna mademu wabaya kila kitu mkuu. Sura mbaya, umbo baya, tabia yako. Chake chake nyoka halambi unga.

Utaishi kama uko Jehannum.
 
Leo nimeitwa kazini katika kampuni fulani hivi, wakanipa mkataba wa kazi mshahara baada ya makato yote ni Tsh 250,000/= sikua na namna nikasaini tu ule mkataba. Kikubwa ni kujifunza na kupata uzoefu maana ndio ajira yangu ya kwanza.

Elimu yangu ni shahada ya rasilimali watu.
kama ni ajira yako ya kwanza mkuu,
we piga kazi kwa moyo wote,
ila usiache kuzid omba kazi maeneo mengne....
wengine tunaitaman hata hio uliyo nayo wewe
 
Wengi wanapokea kiasi karibu sawa na hicho ila ukituona tunavyokunywa bia mtaani kila siku utadhani tunapokea mamilioni.
Kwenye mazingira ya kazi maboss huwa wanakuwa na mianya ya hela, kazi ya ziada au connection. Sasa boss akikupa kazi yenye harufu ya hela ambayo ipo nje ya mkataba usikatae na hata ukifanya usiwe mwepesi wa kumdai hela na wala kulalamika au kutoa siri.
Boss akishakuona hivyo connection za dili zitakuwa hazipiti mbali na wewe, utapigiwa simu hata usiku kukitokea kazi ya ziada.
Mwisho wa siku utaona hata hiyo 250 hauigusi.
 
We nenda kazini mengine utayakuta hukohuko na utashangaa wenye mishahara kama yako wameoa wanasomesha watoto na nyumba wamejenga. Humu maofisini kuna njia nyingi za kuishi. Mishahara ni namba tu
Kweli kabisa usemayo
 
Leo nimeitwa kazini katika kampuni fulani hivi, wakanipa mkataba wa kazi mshahara baada ya makato yote ni Tsh 250,000/= sikua na namna nikasaini tu ule mkataba. Kikubwa ni kujifunza na kupata uzoefu maana ndio ajira yangu ya kwanza.

Elimu yangu ni shahada ya rasilimali watu.
Umeona jinsi kazi ilivyongumu, uache dharau Kwa atakayekuomba kazi au kuona application ya mtu na kuichana.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Leo nimeitwa kazini katika kampuni fulani hivi, wakanipa mkataba wa kazi mshahara baada ya makato yote ni Tsh 250,000/= sikua na namna nikasaini tu ule mkataba. Kikubwa ni kujifunza na kupata uzoefu maana ndio ajira yangu ya kwanza.

Elimu yangu ni shahada ya rasilimali watu.
Dooh hii hela hata wkend haitutoshi
 
Back
Top Bottom