Nimepata kazi mshahara baada ya makato yote 250k

Tafuta mtaji hapo, ingia kwenye biashara..

Kama hauna interest na mambo ya entrepreneurship, basi komaa hapo hapo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na unaweza kukomaa hapo hapo na wakati huo huo unafanya biashara
Maisha ni kupanga
 
Leo nimeitwa kazini katika kampuni fulani hivi, wakanipa mkataba wa kazi mshahara baada ya makato yote ni Tsh 250,000/= sikua na namna nikasaini tu ule mkataba. Kikubwa ni kujifunza na kupata uzoefu maana ndio ajira yangu ya kwanza.

Elimu yangu ni shahada ya rasilimali watu.
Hiyo ni biashara ya utumwa.
Nyerere na Karume walishakukomboa, wewe na ujinga wako umejirudisha tunduni
 
Leo nimeitwa kazini katika kampuni fulani hivi, wakanipa mkataba wa kazi mshahara baada ya makato yote ni Tsh 250,000/= sikua na namna nikasaini tu ule mkataba. Kikubwa ni kujifunza na kupata uzoefu maana ndio ajira yangu ya kwanza.

Elimu yangu ni shahada ya rasilimali watu.
Hongera sana. Mlango wa kwanza kufunguka. Piga kazi heshimu kazi na mabosi. Vumilia huku wajifunza na kujiongeza kikazi. Cv ikijengeka utapata sehemu bomba zaidi..
 
Back
Top Bottom