Naomba ufafanuzi wa kiwango cha pesa kinachobaki kwa ngazi ya mshahara wa TGSD baada ya makato

Kwa MTU anaueajiriwa na serikali na anaanza a mshahara wa TGSD baada ya makato yote pamoja na deni la mkopo wa bodi ya mkopo atabakiwa na kiasi gani.
Nisaidieni wandugu.
Naombeni kikokotoo please.
Man.

Relax TGSD zinarange zake ni mara mia ungemaliza na kiasi kabisa wadau wangekusaidia
 
Hii hapa Loan Board wanalamba 15%
Screenshot_20230719-212227.png
 
Back
Top Bottom