Nimepata kazi mshahara baada ya makato yote 250k

Leo nimeitwa kazini katika kampuni fulani hivi, wakanipa mkataba wa kazi mshahara baada ya makato yote ni Tsh 250,000/= sikua na namna nikasaini tu ule mkataba. Kikubwa ni kujifunza na kupata uzoefu maana ndio ajira yangu ya kwanza.

Elimu yangu ni shahada ya rasilimali watu.
Hiyo ni biashara ya utumwa
 
Unaweza kulipwa 250,000 lakini humo humo kwa mwezi ukapata mara 3 ya hiyo au mara 2 ya hiyo.

Huo mshahara unaweza usiiguse. Soma mazingira kwanza
Atapata fursa gani humo labda aanze kuomba rushwa kwa waajiriwa wengine! Kazi ambazo unaweza kutegemea makubwa ni kama za utalii hata ukiambiwa utalipwa 300K nenda tu sababu magenji ni uhakika au kazi zinazo involve michakato movements za watu au mizigo kama logistics au procurement and supply, uhasibu ama mauzo! Kazi ya kukaa ofisini kutwa nzima yenye mshahara mdogo ni ya kuikimbia tu!

Ila bila shaka hio ofisi ni ya kanjibahi aisee...Wahindi wana ufala sana when it comes to remunration packages😂😂😂
 
hii mishahara acha iiendelee kuwa siri tu...

gross salary 1000000
deductions 550000

take home 450000
madeni ya nje 380000

kinachobaki mfukoni 70000...

vijana tunapitia mazito..
 
hii mishahara acha iiendelee kuwa siri tu...

gross salary 1000000
deductions 550000

take home 450000
madeni ya nje 380000

kinachobaki mfukoni 70000...

vijana tunapitia mazito..
Acha kukopa mkuu. Unaweza kubakiwa hata na 735k kwenye mshahara wa 1M
 
Acha kukopa mkuu. Unaweza kubakiwa hata na 735k kwenye mshahara wa 1M
maisha bila mikopo hauwezi endelea kijana...take that from me....hamna mwajiriwa anayeweza keendelea bila kutegemea mikopo...

tatizo siyo kukopa ...swala ni kwamba hiyo ela inaenda wapi?
 
Back
Top Bottom