Nimepata fursa ya kwenda USA

Nimepata fursa ya kwenda USA

Wewe muongo hujui kitu kaa kimya.
Kama umeuliza na umeambiwa hiyo kampuni ipo na jamaa kweli yupo huko. Na tayari jamaa yako wa texes amekuambia endelea ku-aplay.Hapo tayari 50% uaminifu imeongezeka. Pili kuliwa kwenye mambo ya msingi,ambayo ukipata ni fursa,usiogope. Hata kwenye biashara tunaingia hasara isiyowezekana kukwepa. Kupata hiyo laki 7,itauma ndio lakini je kama ni kweli ukipata hiyo kazi? We jiripue bwana usiogope,wewe fanya lama umenywea pombe hiyo hela au ifanye umejengea ukuta ambao halmashauri wameubomoa. Nasemaje,jilipue,laki 7 hela ya kawaida
 
Jiandae kuliwa hiyo USD 350. Kama vp, mwambie visa utashughulikia mwenyewe.
Tumeshapita huko. Haya mambo tunayaelewa. Kwanza kazi wanayokutajia inakuwa na mshahara mkubwa sana which is too good to be true. Ulipwe Dola 7000 kwa elimu gani na kwa kazi gani?
 
Uchumi wa magufuli mgumu.najaribu tuu
Matapeli wa Ki Nigeria hao, waambie huna hela wakutumie nauli mtakatana baadae uone kama watakubali.

Jiulize hivi, hivi ni watu wangapi wangetaka hiyo nafasi, why wewe? Huoni kuwa imekuwa rahisi sana?

Wajinga wengi wamepigwa hivyo.
 
Habarini wanajf,(Ndugu,kaka,Dada na wengineo).Kama kichwa cha habari,kinavyojieleza hapo juu.

Nimeipata fursa hiyo,kupitia tangazo la ajira nililolipata kupitia whatsup group.Tangazo lilitumwa na mmoja wa member mwenzetu,aliyejitambulisha kwa jina la Wamilse.Alijitanabaisha kua,yeye ni hiring manager wa kampuni ya PRINCESS CRUISES COMPANY,Lenye makao yake makuu California,USA.

Akasema kampuni,linatoa kila kitu ikiwepo Free visa,Free working permit,Free flying ticket ,Free meals na inabidi ulipie registration fee amounting to 350$ dollar.

Basi,nilimfuata inbox na kumweleza lengo langu la kutaka ajira,na akanipa maelezo yote ya kampuni,kua inajihusisha na usafirishaji wa majini ,na ipo na matawi mbalimbali ,na kwa hapa Africa wanatawi southafrica.

Akanambia kua malipo ya mshahara ni 7000$ dollar kama,minimum wage kulingana na sheria ya nchi.Na wanatoa 700$ dollar km kianzio bila malipo ya kodi yeyote kwa mwanzo.
Pia,jinsi utakavyozidi kuaminika na kujituma zaidi,utaongezewa mshahara.

Alinitumia application form,na nikaijaza.Na baadaye,nikamtumia.aliipokea na kuniagiza nilipe registration fee,ambayo nilimwambia ntailipa kesho.

Nilijaribu kuwasiliana na jamaa yangu,ambaye yupo Texas anasoma.nikamwambia ajaribu kunihakikishia kama jamaa yupo state,na km pia anafanya kazi kwenye hiyo kampuni.

Aliniambia,kua ni kweli jamaa yupo California,na ameajiriwa kwenye hiyo kampuni.na kwamba,niendelee na process ya kujaza application form na registration fee.

Tatizo,ni kwamba bado sijamwani yule hiring manager,kwakua bado sijatuma ile nusu ya 350$.

Naombeni ushauri,kwa mwenye experience ya ajira za USA na ,kwingineko.je ni fursa kweli,au ni utapeli?
Mambo siyo rahisi hivyo, kifupi achana naye.
 
Utapeli
 
Lipia upesi kuliko haraka. Watz sasa ndio mnadhihirisha kuwa mnautaka mteremko wa Kitonga tu ila kuupanda hata bila mzigo hamtaki. Hebu piga hesabu sa darasa la kwanza. $350 X 100= 35000 yaani $ Thelathini na tano elfu. Fedha ya kufa mbwa hiyo. Sasa akituma ujumbe kwa mafala 1000 lazima watokee wenye kukamatwa sikio 200. Yaani mtu anakuwa tajiri asubuhi kabla ya jioni.
Muombe kwa kuwa mtapewe $700 chap chap akukopeshe hapo hiyo $350 halafu azikate kwenye mshahara wako wa kwanza. Nadhani weye ukienda huko utahamia kwake wala hutavaa boxer usiku bali utakuwa unajipaka mafuta ya mtelezo tu. Haya, nenda marekani kwa Trump umsalimia mzee shit hole
cc Ontario
 
Ogopa sanaa Mimi nilitumiwa hadi copy ya tiketi ya ndege ila akajichanganya kwenye tarehe
 
350 x 2500 ni sawa na karibia m. Hela yote hiyo umpe mtu bure tu tena yuko hapa karibu tu USA river. Haya Visa bure ila reg. Fees ni $350. Uliona wapi hata hapa bongo mwajiriwa anaombwa pesa?
Kumbe wewe mrahisi sana kurubuniwa???? We ni Kei au Mee
 
Mwambie akufanyie mpango wa kila kitu hiyo 350 utamlipa na riba kabisa ukishapokea mshahara.
 
Habarini wanajf,(Ndugu,kaka,Dada na wengineo).Kama kichwa cha habari,kinavyojieleza hapo juu.

Nimeipata fursa hiyo,kupitia tangazo la ajira nililolipata kupitia whatsup group.Tangazo lilitumwa na mmoja wa member mwenzetu,aliyejitambulisha kwa jina la Wamilse.Alijitanabaisha kua,yeye ni hiring manager wa kampuni ya PRINCESS CRUISES COMPANY,Lenye makao yake makuu California,USA.

Akasema kampuni,linatoa kila kitu ikiwepo Free visa,Free working permit,Free flying ticket ,Free meals na inabidi ulipie registration fee amounting to 350$ dollar.

Basi,nilimfuata inbox na kumweleza lengo langu la kutaka ajira,na akanipa maelezo yote ya kampuni,kua inajihusisha na usafirishaji wa majini ,na ipo na matawi mbalimbali ,na kwa hapa Africa wanatawi southafrica.

Akanambia kua malipo ya mshahara ni 7000$ dollar kama,minimum wage kulingana na sheria ya nchi.Na wanatoa 700$ dollar km kianzio bila malipo ya kodi yeyote kwa mwanzo.
Pia,jinsi utakavyozidi kuaminika na kujituma zaidi,utaongezewa mshahara.

Alinitumia application form,na nikaijaza.Na baadaye,nikamtumia.aliipokea na kuniagiza nilipe registration fee,ambayo nilimwambia ntailipa kesho.

Nilijaribu kuwasiliana na jamaa yangu,ambaye yupo Texas anasoma.nikamwambia ajaribu kunihakikishia kama jamaa yupo state,na km pia anafanya kazi kwenye hiyo kampuni.

Aliniambia,kua ni kweli jamaa yupo California,na ameajiriwa kwenye hiyo kampuni.na kwamba,niendelee na process ya kujaza application form na registration fee.

Tatizo,ni kwamba bado sijamwani yule hiring manager,kwakua bado sijatuma ile nusu ya 350$.

Naombeni ushauri,kwa mwenye experience ya ajira za USA na ,kwingineko.je ni fursa kweli,au ni utapeli?
Mwambie alipe kwa pesa yake alafu wewe utamlipa mara mbili baada ya kupokea mshahara wako wa kwanza.
 
KAMA UNATAKA KUTAPELIWA TUMA HIO PESA DOLA 350 HIZO DOLA 350 BORA UKAE NAZO TU UFANYIE MATUMIZI MENGINE

MIMI NIMEMALIZA USHAURI WANGU
 
HAKUNA AJIRA UNAYOTAKIWA KULIPIA WEWE KAMA APPLICANT.
Akupe maelezo hiyo $350 ni ya nini katika hiyo application. Wewe unatafuta ajira upate ujira, kwanini utozwe pesa?! Chuo pekee ndio nimewahi kusikia unalipia application fee, lakini sijawahi kusikia kazi yenye application fee, labda wagombea wa kisiasa.
Anyway angalia usiwe fursa.
Pole sana kijana umeliwa.
 
Back
Top Bottom