chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,551
- 2,073
Habarini wanajf,(Ndugu,kaka,Dada na wengineo).Kama kichwa cha habari,kinavyojieleza hapo juu.
Nimeipata fursa hiyo,kupitia tangazo la ajira nililolipata kupitia whatsup group.Tangazo lilitumwa na mmoja wa member mwenzetu,aliyejitambulisha kwa jina la Wamilse.Alijitanabaisha kua,yeye ni hiring manager wa kampuni ya PRINCESS CRUISES COMPANY,Lenye makao yake makuu California,USA.
Akasema kampuni,linatoa kila kitu ikiwepo Free visa,Free working permit,Free flying ticket ,Free meals na inabidi ulipie registration fee amounting to 350$ dollar.
Basi,nilimfuata inbox na kumweleza lengo langu la kutaka ajira,na akanipa maelezo yote ya kampuni,kua inajihusisha na usafirishaji wa majini ,na ipo na matawi mbalimbali ,na kwa hapa Africa wanatawi southafrica.
Akanambia kua malipo ya mshahara ni 7000$ dollar kama,minimum wage kulingana na sheria ya nchi.Na wanatoa 700$ dollar km kianzio bila malipo ya kodi yeyote kwa mwanzo.
Pia,jinsi utakavyozidi kuaminika na kujituma zaidi,utaongezewa mshahara.
Alinitumia application form,na nikaijaza.Na baadaye,nikamtumia.aliipokea na kuniagiza nilipe registration fee,ambayo nilimwambia ntailipa kesho.
Nilijaribu kuwasiliana na jamaa yangu,ambaye yupo Texas anasoma.nikamwambia ajaribu kunihakikishia kama jamaa yupo state,na km pia anafanya kazi kwenye hiyo kampuni.
Aliniambia,kua ni kweli jamaa yupo California,na ameajiriwa kwenye hiyo kampuni.na kwamba,niendelee na process ya kujaza application form na registration fee.
Tatizo,ni kwamba bado sijamwani yule hiring manager,kwakua bado sijatuma ile nusu ya 350$.
Naombeni ushauri,kwa mwenye experience ya ajira za USA na ,kwingineko.je ni fursa kweli,au ni utapeli?