Nimepata mtu wa kunipa connection ya kwenda USA kasema nitoe pesa ya visa $2,500

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,832
Salamu waheshimiwa. Kama mjuavyo jana nilitoa offer ya kiwanja kwa atakaenifanyia mchakato niende marekani. Namshukuru mungu na huyo jamaa pia kwa kunipa connection na amesema hataki hata kiwanja atanisaidia Bure tu ila inabidi niende kwenye hiyo kampuni aliyonielekeza waniombee visa na nauli inabidi niwape kama dollar 2500 ili mwezi disemba niondoke. MUNGU AWABARIKI JAMIIFORUM MEMBERS WOTE
 
waone ila napendekeza usiwape hela ya ticketi hadi upate Visa; Namaanisha bila Visa huwezi Kusafiri hivyo ukiwapa hela yote, baada ya muda wanaweza kukuambia wamekosa Visa na hela wasirudishe
Sijui kama USA kuna visa ya mchongo? Ninavyokumbuka Visa za marekani kama za tourist, business, student, ilikuwa $160; Visa za kufanya kazi kama watu wa dini/wachungaji/wahubiri zilikuwa $190 nk Namaanisha hata kama wanakusaidia kupata Visa usitoe zaidi ya $500 kwa ajili ya Visa ili Ubakiwa na $2000 ya nauli
MUHIMU: USILIPIE TICKET HADI UMEPATA VISA!
 
waone ila napendekeza usiwape hela ya ticketi hadi upate Visa; Namaanisha bila Visa huwezi Kusafiri hivyo ukiwapa hela yote, baada ya muda wanaweza kukuambia wamekosa Visa na hela wasirudishe
Sijui kama USA kuna visa ya mchongo? Ninavyokumbuka Visa kama za tourist, business, student, ilikuwa $160; Visa za kufanya kazi na Watu wa dini/wachungaji/wahubiri zilikuwa $190 nk Namaanisha hata kama ni mchongo usitoe zaidi ya $500 kwa ajili ya Visa ili Ubakiwa na $2000 ya nauli
Mkuu sidhani kama wanamambo hayo kwasababu wamesema ofisi zao zipo masaki nanitaenda ofisini kabisa kwasababu hawa watu wamesema huwa wanachukua wafanyakazi kila mwaka kwaajili ya kwenda marekani. Wamesema bila kutoa na pesa ya nauli hawawezi nifanyia mpango wa visa kwasababu wengi wao wakipata visa nauli wanakuwa hawana kwahiyo hawataki tena huu usumbufu
 
Utatapeliwa hakuna huo upuuzi..
 
Waambie kuwa utakata nauli mwenyewe,waambie wakuambie ndige gani ukate uwe unayo,Mana unaweza ukahairisha wakakata %age fulani ya kuhairisha safari.
Aisee yaani pesa mie siamini mtu.ama watakuwa Ni viza ya kupika Kama yule mghana aliyekuwa anafoji na vijana wanafika USA kabsa
 
Salamu waheshimiwa. Kama mjuavyo jana nilitoa offer ya kiwanja kwa atakaenifanyia mchakato niende marekani. Namshukuru mungu na huyo jamaa pia kwa kunipa connection na amesema hataki hata kiwanja atanisaidia Bure tu ila inabidi niende kwenye hiyo kampuni aliyonielekeza waniombee visa na nauli inabidi niwape kama dollar 2500 ili mwezi disemba niondoke. MUNGU AWABARIKI JAMIIFORUM MEMBERS WOTE
Mpe tu, kufa kufaana 😂😂😂
 
waone ila napendekeza usiwape hela ya ticketi hadi upate Visa; Namaanisha bila Visa huwezi Kusafiri hivyo ukiwapa hela yote, baada ya muda wanaweza kukuambia wamekosa Visa na hela wasirudishe
Sijui kama USA kuna visa ya mchongo? Ninavyokumbuka Visa kama za tourist, business, student, ilikuwa $160; Visa za kufanya kazi na Watu wa dini/wachungaji/wahubiri zilikuwa $190 nk Namaanisha hata kama wanakusaidia kupata Visa usitoe zaidi ya $500 kwa ajili ya Visa ili Ubakiwa na $2000 ya nauli
MUHIMU: USILIPIE TICKET HADI UMEPATA VISA!
Kijana mimi nmeenda abroad kwa agency huezi lipa kitu chochote kama kwanza hujapewa offer au invitation kutoka nchi husika ukivipata hvyo unalipia visa tu ukishapatq visa then ndo umalizia mwsho kabisa coz wao ndo watakuwa na passport yako since inafika kwao sababu ya address wanaweka yao ndo unalipa ndege.

Niliwah kuona wenzangu tulioenda kenya for visa interview walikuwa rejected na awakurudishiwa hata mia ilibidi waingie gharama nyingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom