Nimepata fursa ya kwenda USA

Nimepata fursa ya kwenda USA

ukiona unaitiwa fursa kwa kuimizwa sana ujue wewe ndo fursa
Habarini wanajf,(Ndugu,kaka,Dada na wengineo).Kama kichwa cha habari,kinavyojieleza hapo juu.

Nimeipata fursa hiyo,kupitia tangazo la ajira nililolipata kupitia whatsup group.Tangazo lilitumwa na mmoja wa member mwenzetu,aliyejitambulisha kwa jina la Wamilse.Alijitanabaisha kua,yeye ni hiring manager wa kampuni ya PRINCESS CRUISES COMPANY,Lenye makao yake makuu California,USA.

Akasema kampuni,linatoa kila kitu ikiwepo Free visa,Free working permit,Free flying ticket ,Free meals na inabidi ulipie registration fee amounting to 350$ dollar.

Basi,nilimfuata inbox na kumweleza lengo langu la kutaka ajira,na akanipa maelezo yote ya kampuni,kua inajihusisha na usafirishaji wa majini ,na ipo na matawi mbalimbali ,na kwa hapa Africa wanatawi southafrica.

Akanambia kua malipo ya mshahara ni 7000$ dollar kama,minimum wage kulingana na sheria ya nchi.Na wanatoa 700$ dollar km kianzio bila malipo ya kodi yeyote kwa mwanzo.
Pia,jinsi utakavyozidi kuaminika na kujituma zaidi,utaongezewa mshahara.

Alinitumia application form,na nikaijaza.Na baadaye,nikamtumia.aliipokea na kuniagiza nilipe registration fee,ambayo nilimwambia ntailipa kesho.

Nilijaribu kuwasiliana na jamaa yangu,ambaye yupo Texas anasoma.nikamwambia ajaribu kunihakikishia kama jamaa yupo state,na km pia anafanya kazi kwenye hiyo kampuni.

Aliniambia,kua ni kweli jamaa yupo California,na ameajiriwa kwenye hiyo kampuni.na kwamba,niendelee na process ya kujaza application form na registration fee.

Tatizo,ni kwamba bado sijamwani yule hiring manager,kwakua bado sijatuma ile nusu ya 350$.

Naombeni ushauri,kwa mwenye experience ya ajira za USA na ,kwingineko.je ni fursa kweli,au ni utapeli?
 
Kama umeuliza na umeambiwa hiyo kampuni ipo na jamaa kweli yupo huko. Na tayari jamaa yako wa texes amekuambia endelea ku-aplay.Hapo tayari 50% uaminifu imeongezeka. Pili kuliwa kwenye mambo ya msingi,ambayo ukipata ni fursa,usiogope. Hata kwenye biashara tunaingia hasara isiyowezekana kukwepa. Kupata hiyo laki 7,itauma ndio lakini je kama ni kweli ukipata hiyo kazi? We jiripue bwana usiogope,wewe fanya lama umenywea pombe hiyo hela au ifanye umejengea ukuta ambao halmashauri wameubomoa. Nasemaje,jilipue,laki 7 hela ya kawaida
 
Rudia kusoma ulichoandika mkuu
Laki saba take home ya daktari
 
Hahahaha kijana acha awe fursa ya watu kujipatia hela,hivi hata kujiuliza hawezi,watu wanaahidi watakulipa mshahara hadi USD 7000,kweli washindwe kukulipia ada ya visa USD 350?Jamaa kashindwa hata kujiongeza.
Ukiona kazi yoyote ile inakutaka kulipa hela kabla ya kuajiriwa. Shituka maana wewe ndiyo fursa. Kuwepo kwa kampuni haimaniishi utaajiriwa hata kama mtu huyo anafanya kwenye hiyo kampuni .
 
Mkuu ulivoitaja tu hyo campun nakupa big No....usitume pesa utaliwa hao wengi ni wanigeria. Narudia Tena USITUME PESA, USITUME PESA, USITUME PESA

Kuna jamaa mmoja ni baharia alipigwa dola 1500 na alishauriwa Sana asitume pesa.

Mm hao jamaa Hadi mikataba yao nishatumiwa ila sijawah tuma pesa nawachora tu wanavotuma matxt yao marefu yaliyojaa mbwembwe kibao.

USITUME PESA ,USITUME PESA, USITUME PESA.

OVER
 
Shukran,mkuu
 
Rudia kusoma ulichoandika mkuu
Laki saba take home ya daktari
Halafu wewe unaweza ukawa ndugu yangu. Najua nimeandika nini. Je kama kweli hiyo nafasi ipo?. Unajua utaperi unaujua tu,kufuatana mawasiriana waliyofanya kuanzia awali. Sidhani kama ni hivi tu alivyotuelezea ndivyo hivyo hivyo walivyoanza na walivyoendelea kuwasiriana. Lakini ipo zaidi. Kwa hiyo ni rahisi kusoma picha
 
Mkuu ulivoitaja tu hyo campun nakupa big No....usitume pesa utaliwa hao wengi ni wanigeria. Narudia Tena USITUME PESA, USITUME PESA, USITUME PESA

Kuna jamaa mmoja ni baharia alipigwa dola 1500 na alishauriwa Sana asitume pesa.

Mm hao jamaa Hadi mikataba yao nishatumiwa ila sijawah tuma pesa nawachora tu wanavotuma matxt yao marefu yaliyojaa mbwembwe kibao.

USITUME PESA ,USITUME PESA, USITUME PESA.

OVER
Humu wamo wazoefu wengi kama huyu.
 
Hapo kuna upigaji mkuu, kama ni kweli je huyo jamaa hana ndugu au marafiki awapachike mpaka aje kwako, hapo unapigwa si muda kama ni usa mbona zipo app za kutengeneza namba za usa, just mtege tu mwambie akuelekeze ilipo branch yao kama ni official kweli ukiona mazingira kweli utapima uzito then ujiongeze
 
TAPELI HUYO. KIMBIA KABISAAAA... Mambo sio rahisi kiivyo, Eti visa free.. Yaan nashangaa duniani ya Leo mtu anaweza tapeliwa kirahisi ivo.
 
USA ya Arusha au unamaanisha Marekani yaani U.S.A?

USA river sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
. Hebu piga hesabu sa darasa la kwanza. $350 X 100= 35000 yaani $ Thelathini na tano elfu.

NA KWELI HIYO NI HESABU YA MEMKWA KABISAAAA.... wala siyo ya darasa la kwanza.
 
Kuna kitu sijaelewa vizuri,,kwamba kazi utakayoenda kufanya ni kusafirisha majini??? Au sijaelewa!!!
 
Jaribu japo fursa za kwenda nje zinahitaj uwe na mtu wakaribu aliopo uko akupe uhakika, na kunakupata na kukosa jiandae kwa lolote kwanza
 
Halafu wewe unaweza ukawa ndugu yangu. Najua nimeandika nini. Je kama kweli hiyo nafasi ipo?. Unajua utaperi unaujua tu,kufuatana mawasiriana waliyofanya kuanzia awali. Sidhani kama ni hivi tu alivyotuelezea ndivyo hivyo hivyo walivyoanza na walivyoendelea kuwasiriana. Lakini ipo zaidi. Kwa hiyo ni rahisi kusoma picha
Kuwepo kwa kampuni wala sio noma,na uwepo wa kampuni ndo unamfanya tapeli aaminike zaidi. Watu wana mihuli mpaka ya ikulu. Kwa vile kampuni ipo basi uamini amini tu. Kazi gani inayokutaka uwape USD 350?Hao tapeli.
 
Back
Top Bottom