Nimepata fursa ya kwenda USA

Nimepata fursa ya kwenda USA

Wabongo wengine wanafurahisha sana, wewe huna ajira garafu unaambiwa ulipie maombi ya ajira, haujiongezi mwenyewe? Toa sadaka hiyo watu wale.
 
Utapeli huo! STUKA!

Habarini wanajf,(Ndugu,kaka,Dada na wengineo).Kama kichwa cha habari,kinavyojieleza hapo juu.

Nimeipata fursa hiyo,kupitia tangazo la ajira nililolipata kupitia whatsup group.Tangazo lilitumwa na mmoja wa member mwenzetu,aliyejitambulisha kwa jina la Wamilse.Alijitanabaisha kua,yeye ni hiring manager wa kampuni ya PRINCESS CRUISES COMPANY,Lenye makao yake makuu California,USA.

Akasema kampuni,linatoa kila kitu ikiwepo Free visa,Free working permit,Free flying ticket ,Free meals na inabidi ulipie registration fee amounting to 350$ dollar.

Basi,nilimfuata inbox na kumweleza lengo langu la kutaka ajira,na akanipa maelezo yote ya kampuni,kua inajihusisha na usafirishaji wa majini ,na ipo na matawi mbalimbali ,na kwa hapa Africa wanatawi southafrica.

Akanambia kua malipo ya mshahara ni 7000$ dollar kama,minimum wage kulingana na sheria ya nchi.Na wanatoa 700$ dollar km kianzio bila malipo ya kodi yeyote kwa mwanzo.
Pia,jinsi utakavyozidi kuaminika na kujituma zaidi,utaongezewa mshahara.

Alinitumia application form,na nikaijaza.Na baadaye,nikamtumia.aliipokea na kuniagiza nilipe registration fee,ambayo nilimwambia ntailipa kesho.

Nilijaribu kuwasiliana na jamaa yangu,ambaye yupo Texas anasoma.nikamwambia ajaribu kunihakikishia kama jamaa yupo state,na km pia anafanya kazi kwenye hiyo kampuni.

Aliniambia,kua ni kweli jamaa yupo California,na ameajiriwa kwenye hiyo kampuni.na kwamba,niendelee na process ya kujaza application form na registration fee.

Tatizo,ni kwamba bado sijamwani yule hiring manager,kwakua bado sijatuma ile nusu ya 350$.

Naombeni ushauri,kwa mwenye experience ya ajira za USA na ,kwingineko.je ni fursa kweli,au ni utapeli?
 
Ina maana hufanyiwi interview? Kama ni kweli anachosema Kwa mfano ufike ushindwe kwenye interview inakuwaje?
Anyway za kuambiwa changanya na zako
 
We umesema umepata fursa ya kwenda mbona kama bado kabisa process,? Mi nilijua tayar wamekutumia hadi tiketi,achana nae hapo ujue wewe ndo fursa
 
Halafu wewe unaweza ukawa ndugu yangu. Najua nimeandika nini. Je kama kweli hiyo nafasi ipo?. Unajua utaperi unaujua tu,kufuatana mawasiriana waliyofanya kuanzia awali. Sidhani kama ni hivi tu alivyotuelezea ndivyo hivyo hivyo walivyoanza na walivyoendelea kuwasiriana. Lakini ipo zaidi. Kwa hiyo ni rahisi kusoma picha
aisee hizo "l" zimegeuka lini kuwa "R"...... hata hujishtukii ?????
 
Msalimie mjuu wangu yupo Hollywood mwambie zawadi aliyo nipa ya vitz naona aibu kuendesha wanasema wanaongwa mademu mi naogopa watu awachelewi na maneno..Mwambie anitumie ford
 
Habarini wanajf,(Ndugu,kaka,Dada na wengineo).Kama kichwa cha habari,kinavyojieleza hapo juu.

Nimeipata fursa hiyo,kupitia tangazo la ajira nililolipata kupitia whatsup group.Tangazo lilitumwa na mmoja wa member mwenzetu,aliyejitambulisha kwa jina la Wamilse.Alijitanabaisha kua,yeye ni hiring manager wa kampuni ya PRINCESS CRUISES COMPANY,Lenye makao yake makuu California,USA.

Akasema kampuni,linatoa kila kitu ikiwepo Free visa,Free working permit,Free flying ticket ,Free meals na inabidi ulipie registration fee amounting to 350$ dollar.

Basi,nilimfuata inbox na kumweleza lengo langu la kutaka ajira,na akanipa maelezo yote ya kampuni,kua inajihusisha na usafirishaji wa majini ,na ipo na matawi mbalimbali ,na kwa hapa Africa wanatawi southafrica.

Akanambia kua malipo ya mshahara ni 7000$ dollar kama,minimum wage kulingana na sheria ya nchi.Na wanatoa 700$ dollar km kianzio bila malipo ya kodi yeyote kwa mwanzo.
Pia,jinsi utakavyozidi kuaminika na kujituma zaidi,utaongezewa mshahara.

Alinitumia application form,na nikaijaza.Na baadaye,nikamtumia.aliipokea na kuniagiza nilipe registration fee,ambayo nilimwambia ntailipa kesho.

Nilijaribu kuwasiliana na jamaa yangu,ambaye yupo Texas anasoma.nikamwambia ajaribu kunihakikishia kama jamaa yupo state,na km pia anafanya kazi kwenye hiyo kampuni.

Aliniambia,kua ni kweli jamaa yupo California,na ameajiriwa kwenye hiyo kampuni.na kwamba,niendelee na process ya kujaza application form na registration fee.

Tatizo,ni kwamba bado sijamwani yule hiring manager,kwakua bado sijatuma ile nusu ya 350$.

Naombeni ushauri,kwa mwenye experience ya ajira za USA na ,kwingineko.je ni fursa kweli,au ni utapeli?

Marekani kote wamekosekana watu wa kujaza nafasi kwa kazi hiyo hadi aje akuchukue wewe huku, tena kwa mshara wa kiasi hicho?
 
Unasubiri nini sasa? utarogwa humu ooohh! na usiende tena
 
Hakuna maisha rahisi hivyo, jamaa kakugeuza fursa.. Yaani $7000/ month ikufuate tu ukiwa zako Tandika wakati kuna majamaa yako humu JF hayana kazi huko USA yanapiga misele tu..

think deeply before you act...
 
Back
Top Bottom