Nimepata dawa ya wizi wa viatu

Nimepata dawa ya wizi wa viatu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
253051_366511826768621_772449001_n.jpg
 
Ndiyo maana huwa nnauliza una miaka mingapi? mwenyewe hapo ndiyo unajiona umefanya jambo la maana kweli?

Kwa sababu wewe muda wote unakomaa na mambo chadema Vs CCM unataka watu wengine nao muda wote wawe hivyo. Kama unaona kachemka we sepa tu sio lazima ukomenti. Mtu mzima ovyoooo
 
Wewe soma kama hujapenda, sepa.
 
uwiii mhhh kuna watu ni balaa humu ndani mzizi mkavu hua unavituko teh teh teh
 
Kwa sababu wewe muda wote unakomaa na mambo chadema Vs CCM unataka watu wengine nao muda wote wawe hivyo. Kama unaona kachemka we sepa tu sio lazima ukomenti. Mtu mzima ovyoooo
hako kamama kana superiority complex,kanajifanya kanajua kila kitu...na kudowngrade wengine...
 
Back
Top Bottom