Nimepata dawa ya wizi wa viatu

Nimepata dawa ya wizi wa viatu

Jamani hivyo siyo viatu ni ndala.mtoa mada katufumba na sisi tumeingia kingi. kamaanisha wezi wa viatu kaonyesha ndala zimefungwa kufuli what a conttast
 
253051_366511826768621_772449001_n.jpg

Mkuu Mzizi Mkavu mbona unaengeza thamani ya kanda mbili? Hata hilo kufuli ni dili pia, wataondoka navyo tu.
 
Ndiyo maana huwa nnauliza una miaka mingapi? mwenyewe hapo ndiyo unajiona umefanya jambo la maana kweli?
hukulazimishwa na mtu kuona picha yangu kam hukuipenda sepa na njia panda......

ulichojiuliza nami pia huwa najiulza
Ninafikiri mshajibiwa nyinyi wote wawili sina haja ya kuwajibu kama hamu kupendekezewa na picha zangu bora musepe na njia panda. Hili ni jukwaa la JF Picha sio jukwaa la Siasa au JF Doctor kwendeni na njia zenu. Na nyinyi wekeni picha zenu tuzione si kupenda kulaumu watu na maneno yenu ya pumba.
 
Ndiyo maana huwa nnauliza una miaka mingapi? mwenyewe hapo ndiyo unajiona umefanya jambo la maana kweli?

Daaa we sis .....inamaana unataka muda wote unataka watu wawe serious na post ziwe za siasa wengine siasa ni zikokushoto ....
 
Daaa we sis .....inamaana unataka muda wote unataka watu wawe serious na post ziwe za siasa wengine siasa ni zikokushoto ....

Na wewe unaambiwa viatu unakubali? kuwa kandambili ni viatu?
 
Jamani hivyo siyo viatu ni ndala.mtoa mada katufumba na sisi tumeingia kingi. kamaanisha wezi wa viatu kaonyesha ndala zimefungwa kufuli what a conttast
Hapo umenena Mkuu, ndala au kandambili aka malapa sio viatu, nadhani Mzizi Mkavu hajui Kiswahili Vizuri.
 
Back
Top Bottom