Avenger sikupendq walivyoimalizaMtu mwingine ni Thanos kwenye avengers naye pia alishaini
Kwa nini mkuu, ulitaka waimalizajeAvenger sikupendq walivyoimaliza
Jinsi wapigania Dunia walivyogeuka kuwa Mchanga yaani hadi Dr StrangerKwa nini mkuu, ulitaka waimalizaje
Hukuangalia Avengers End game mkuu, kulikuwa na mwendelezo wa kuwarejesha wote waliopotea na thanos akafa mwishoniJinsi wapigania Dunia walivyogeuka kuwa Mchanga yaani hadi Dr Stranger
Wewe unasema kweli?...Dah ngoja nikaisake mkuu..basi nikajua ndiyo ilishia pale... Daah! Tatizo nipo mbwinde huku hata hiyo niliigumia tu mahala nikaipenda ndipo nikaifuatilia mwanzo mwisho na nikajua imeishia pale.Hukuangalia Avengers End game mkuu, kulikuwa na mwendelezo wa kuwarejesha wote waliopotea na thanos akafa mwishoni
💯Kabisa tena jamaa alikuwa na point za maana, kuwa duniani kila mtu ana ubaya na anachagua kusaidia watu anaowapenda kwanza
HaijaishaAvenger sikupendq walivyoimaliza