dark

Darkness, the polar opposite of brightness, is understood as a lack of illumination or an absence of visible light.
Human vision is unable to distinguish color in conditions of either high brightness or very low brightness. In conditions with insufficient light levels, color perception ranges from achromatic to ultimately black.
The emotional response to darkness has generated metaphorical usages of the term in many cultures.
Referring to a time of day, complete darkness occurs when the Sun is more than 18° below the horizon, without the effects of twilight on the night sky.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kombola jipya la Marekani Hypersonic Dark Eagle kupelekwa Mashariki ya kati!

    Habari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji...
  2. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgongo ni sehemu yenye hisia iliosahauliwa sana kwenye mapenzi

    Watu wanazungumzia mapaja, sijui kifua n.k ila hawajui mgogo unahisia kali sana, kwa jinsia zote. na unakua na raha ya kukufaya u relax. we jaribu leo ulale, kisha mwenza wako akushike shike mgongoni uone, au afanye kama anakutumbua chunisi au vipele, kisha utaona relaxatio and stimulation...
  3. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Dark psychology

    DARK PSYCHOLOGY 🧠 1. Mtu akikuomba msamaha, usiseme “hakuna shida.” Sema “Asante.” Hapo anahisi kosa lake lina uzito… na mara nyingi hatolirudia. 2. Ukipiga miayo kisha mtu mwingine naye akapiga miayo… ujue alikuwa anakutazama. 3. Ukiwa kwenye ugomvi, usitumie matusi. Muonyeshe ishara Dole...
  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Tanzania alioiona Oscar Kambona na Uzi wa dark days, upi ni bora kwako?

    Hizi nyuzi ni kati ya masterpiece kuwahi kuandikwa humu JF.
  5. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 “The Dark Side of Tanzania General Election 2025”: What Polling Agents Did — History Will Judge Them

    The 2025 General Election in Tanzania has passed. The presidential candidate of the ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Samia Suluhu Hassan, was declared the winner with 31 million votes, equivalent to about 98% of all votes that were said to have been cast, according to the Independent...
  6. K

    JamiiForums Tanzania “The Dark Side of Tanzania General Election 2025”: What Polling Agents Did — History Will Judge Them.

    The 2025 General Election in Tanzania has passed. The presidential candidate of the ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Samia Suluhu Hassan, was declared the winner with 31 million votes, equivalent to about 98% of all votes that were said to have been cast, according to the Independent...
  7. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 “The dark side of Tanzania General Election 2025”, walichofanya Mawakala historia itawahukumu

    Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 nchini Tanzania umepita, Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya Urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangazwa Mshindi kwa kupata Kura Milioni 31 sawa na takribani 98% ya Kura zote zilizodaiwa kupigwa kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC). INEC pia...
  8. bolivia

    JamiiForums Tanzania Dark Days 09/12/2025

    Gen Z walitaka uhuru wao kwenye kila jambo hususani kuchagua watu wao kwenye uchaguzi lkn serikali katili ikapitisha jina la mtu 1, na kufanya uchaguzi usio wa haki ufanyike, Born town, current CEO ambae kwa sasa ni CEO kamili mwanae CEO na tajiri wa ki-asia mmiliki wa sehemu ya bahari...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna siku unashangaa tuna lalamika mitandao ya pesa na sms inakuja ikidai ulichokisema basi hapa tulipofika hiii yote ni hawa wahuni

    Kuna siku unashangaa tuna lalamika mitandao ya pesa na sms inakuja ikidai ulichokisema basi hapa tulipofika hiii yote ni hawa wahuni. Mtalalamika benki,mitandao ya simu na wale ponzi ila hawa wameshaamua nchi kuwa ya kwao hata muishi muwe kama somalia ya jangwa. Kwa wale DMZ kuna Hattacker...
  10. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania Hitman na snipers(assassins) kule dark web malipo yao hutegemea nini haswa?

    Naomba wale ambao wanauzoefu au wana taarifa juu ya utendaji kazi wa hawa watu ambao hufanya mauaji kwa kulipwa kama wana taarifa watujuze hapa.
  11. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Dark Day: Ajali ya Mbeya na Mtwara

    Ajali ya Juzi Mbeya iliyohusisha bus kuwagonga wanafunzi waliokuwa wanakimbia barabarani imeondoa vijana wetu 6 na wengine majeruhi. Ajali hii imetokea alfajiri tarehe 26.07.2025 Ajali kama hii ilitokea Mtwara ilihusisha school Bus kuingia mtaroni na kusababisha wanafunzi 8 kufariki na mwalimu...
  12. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania True friends are like stars you can only recognize them when its dark around you

    Fake friends are like shadows They walk beside you in the light 💡 They smile when you shine They praise when you are rising. But when darkness falls they vanish When you stamble they stay silent When you need support they disappear. Real friendship isn't proven by presence in your good times...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Leo niliingia Dark Web kumbe kuna hitman wapo Afrika Mashariki kuwalipa kushugulikia yoyote

    Kwa msiofahamu mambo ya tovuti kuna upande mwengine unaitwa Dark web huko kuna kila aina ya uchafu ambao ushindwe wewe. Kwa matukio ambayo yanatokea nchini na wahusika wakijulikana wakiwa vitengo na salama na familia zao kwa nini tusitumie dark web kununua hitman na wengine mpaka wanaweka CV...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Graphic Designer & Social Media Marketer at Dark Earth Carbon March 2025

    Dark Earth Carbon on behalf of Masika Venture, is seeking a Graphic Designer & Social Media Marketer Job Location: Dar es Salaaam Short Brief of the Company: Masika Ventures is an umbrella organization that encompasses the business services functions of our companies including Upendo Honey...
  15. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer)

    Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer) Katika pitapita zangu nimekutana na maelezo kuhusu dark web internet ambayo haiwezi kufikiwa na injini za utafutaji za kawaida, watu wengi wamelezea inavyo tosha kuelewa sehemu hii ya internet, nitakacho kupa hapa ni faida kama haujawahi...
  16. dosho12

    JamiiForums Tanzania Uvumbuzi wa Dark Oxygen

    Toka miaka ya 1700s tumekuwa tukifundishwa ya kuwa mwanga wa jua unatengeneza hewa ya oxygen kupitia photosynthesis, mfumo muhimu wa kiasilia unaofanya maisha ya dunia kuendelea kuwepo, mimea kama algae na baadhi ya backteria hufyonza mwanga wa jua na kubadilisha carbondioxide na maji kuwa...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kiu yao ya vurugu inayotokana na msukumo wa itikadi zao au hamasa binafsi inafanya nikumbuke quote hii katika movie ya The Dark Knight

    Baada ya kuwa Batman ameshindwa kumuelewa The Joker kuhusiana na njia zake za vurugu pamoja na makusudio yake maana waharifu wengi makusudio yao ni kujipatia pesa ila the joker haeleweki. Ndio hapo, yule mzee ambaye ndio Guardian wa Batman tangu utoto akamwambia Batman maneno haya: "Because...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mkoa uliong'aa (THE SHINY BUKOBA) Leo hii Umekuwa Mkoa Mweusi (THE DARK BUKOBA) kwenye kila sekta ya Maendeleo;Nini Kimetokea kwa Nshomile Hawa

    Nimesoma andiko la mtoa hoja mmoja kwamba kwa nini Wahaya festiva ifanyikie Dar es salaam na si Bukoba ili kuhamasisha ujenzi wa Barabara, Stendi na Soko, vitu vinavyotia aibu kubwa sana kimkoa. Lakini mimi kwa kuwa ni mdau wa mkoa huo, niliona tusijikite kwenye festival tu, tuangalie picha...
  19. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Rick Owens The Dark Master

    Niseme tu huyu jamaa nimeanza kumfahamu leo kupitia mitandao ya kijamii haswa tiktok. Inasemwa ni mtu fashion. Ila ana ushetani mwingi. Kula wanaume wenzie na mambo mengine ya hovyo. Kuanzia ahsubuhi hii anatrend kule tiktok. Mwonekano wake anaonekana kama mtu mkatili. Kuanzia kuvaa, na sura...
Back
Top Bottom