Nimeona hii nikacheka sana[emoji23]

Nimeona hii nikacheka sana[emoji23]

Hahaha sometime tutumie critical thinking! Walikatazwa wasile hilo tunda, ila walipokula wakajikuta wapo uchi!!! Like seriously? Umekula fyox, peasi,pera, chungwa, nanasi n.k ulishawahi kujikuta uchi au tunda linavua watu nguo!?
Lakini si walikuwa hawavai nguo?
Heaven Sent njoo uokoe jahazi huku mama.
 
mwanamke ndani ya nyumba asipokuwa na hela si kesi, sasa mwenzangu na mimi usipokuwa na mawe ya mtoto wa kike ale na kufanya mahitaji mengine ambayo ni muhimu kwake ujie amani inaanza kutowekea hapo
 
Back
Top Bottom