Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,372
- 64,584
Najiandaa baada ya kustaafu nijenge jengo kubwa la kuabudia hapa karibu na nyumbani.
Naamini sitakosa chochote, kwa sababu nitakuwa sina nguvu za kufanya kazi nzito.
Kama mtaniunga mkono, na mkawa mnakuja kuabudia kwenye hili jengo mtakuwa mmenisaidia sana katika kupunguza ukali wa maisha.
Nimeona ni bora niwekeze huku.