Nimeona hii nikacheka sana[emoji23]

Nimeona hii nikacheka sana[emoji23]

"Maana niliposikia jamaa atakula kwa jasho nikajua pesa zake ndio zitamuuma sana akiombwa,so nikamuambia MB (00-100) zisisome bila pesa,na umuanze na "Baby nikuambie kitu" kwa maana neno hilo lilimfanya ale tunda Basi pia akilewa nawe pesa atazitoa na ataangamia eeh naaam"Lucifer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kula kwa jasho si ni baada ya kuongea na shetani jamni[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom