Nimeona hii nikacheka sana[emoji23]

Nimeona hii nikacheka sana[emoji23]

Sasa ukiunganisha matukio, eti baada ya kula tunda wakajikuta wapo uchi? We apple umekula mara ngapi toka ulifahamu? Je, ushawahi kujikuta uchi baada ya kulila?
Khaaaah!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkwe umenishinda tabia.
 
Khaaaah!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkwe umenishinda tabia.
Hahaha sometime tutumie critical thinking! Walikatazwa wasile hilo tunda, ila walipokula wakajikuta wapo uchi!!! Like seriously? Umekula fyox, peasi,pera, chungwa, nanasi n.k ulishawahi kujikuta uchi au tunda linavua watu nguo!?
 
Twende taratibu mkuu hawa watu walikuwa wawili kwenye bostani swali langu ni hili Adamu alikuwa wa kwanza kuumbwa baadae mungu akamuambia nitakuletea msaidizi wako(Rafiki) ambaye ni Hawa ilikuwaje akamuacha kwa masaa yote, pili yeye alikuwa wapi Adamu?
Alikuwa kalala, Hawa akatoroka kidizaini
 
Back
Top Bottom