Nimeona hii nikacheka sana[emoji23]

Nimeona hii nikacheka sana[emoji23]

Adam hakuchepuka..alimla hawa baada ya hawa kutoka na janaba lake huko kwa shetan hata hakunawa mwanamke fedhuli yule akamp kaka wa watu akala nae hapo hapo hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Twende taratibu mkuu hawa watu walikuwa wawili kwenye bostani swali langu ni hili Adamu alikuwa wa kwanza kuumbwa baadae mungu akamuambia nitakuletea msaidizi wako(Rafiki) ambaye ni Hawa ilikuwaje akamuacha kwa masaa yote, pili yeye alikuwa wapi Adamu?
 
Dah...
IMG-20190315-WA0005.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alimgonga kweli, sindio maana kinaitwa kizazi cha nyoka. Huyo snake (shetani) alipiga show kisha akamsukumia msala adamu. Alimpanga Eva aende akamtegeshee adamu mimba ndio maana mungu alichukia sana maana alijua mchongo mzima.

Akamlaani na kumtimua snake Eden haraka sana.
Kisha akawa anamlaumu sana Adamu kwa kusinzia kiboya akamuacha hawa kwenda kudangayika na shetani pori la jirani hapo. Mbaya zaidi alipoambiwa nae apige mzigo ataskia utamu akakubali kupiga mzigo kinyume na maagizo ya mzee baba (Mungu).

Mwisho mungu akatoa amri yake, wote mmezingua kwahio bata basiii! Nimewapa maisha kama kwa Gadaffi mmeleta bangi, sasa wote nawatupa kwenye global huko na amini kwamba Eva utazaa kwa uchungu maisha yako yote na Adam utakula kwa jasho, utaenda kulima shamba na bustani yako kwa nguvu itakayokupa kula wewe na Eva. Usisahau tena kuishi nae kwa akili huyo atakulostisha tena. Haya sepeni Eden kwangu sitaki kuwaona tena hapa!

Mchezo ukaishia hapo, kwahio jamani ile ni fasihi tu imetumika kuwaficha watoto mambo mazito, ila kwa wandewa tunajua mchezo ukoje! Tunda ni mbunye, na kula tunda ni kupigana mikasi! Sir God alitaka yeye ndio aratibu zoezi la uzazi sema shetani akajitia much know kuvamia shughuli akapandikiza mbegu chafu! Kuanzia pale ni vizazi vya laana tu!
Ndio maana akazaliwa kaini yule atakuwa mtoto wa shetani. Dah kumbe wanaume kusingiziwa mimba imeanza kitambo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha nimecheka mno utasema ulikuwepo eneo la tukio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani sio kwa ufafanuzi huo, utafikiri yeye ndio nyoka mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom