Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,435
- 191,756
Alimgonga kweli, sindio maana kinaitwa kizazi cha nyoka. Huyo snake (shetani) alipiga show kisha akamsukumia msala adamu. Alimpanga Eva aende akamtegeshee adamu mimba ndio maana mungu alichukia sana maana alijua mchongo mzima.-Kumbe tunda lenyewe ni kyuma!!!! Duh kama ndiyo hivyo maana yake shetani alimgonga Hawa basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akamlaani na kumtimua snake Eden haraka sana.
Kisha akawa anamlaumu sana Adamu kwa kusinzia kiboya akamuacha hawa kwenda kudangayika na shetani pori la jirani hapo. Mbaya zaidi alipoambiwa nae apige mzigo ataskia utamu akakubali kupiga mzigo kinyume na maagizo ya mzee baba (Mungu).
Mwisho mungu akatoa amri yake, wote mmezingua kwahio bata basiii! Nimewapa maisha kama kwa Gadaffi mmeleta bangi, sasa wote nawatupa kwenye global huko na amini kwamba Eva utazaa kwa uchungu maisha yako yote na Adam utakula kwa jasho, utaenda kulima shamba na bustani yako kwa nguvu itakayokupa kula wewe na Eva. Usisahau tena kuishi nae kwa akili huyo atakulostisha tena. Haya sepeni Eden kwangu sitaki kuwaona tena hapa!
Mchezo ukaishia hapo, kwahio jamani ile ni fasihi tu imetumika kuwaficha watoto mambo mazito, ila kwa wandewa tunajua mchezo ukoje! Tunda ni mbunye, na kula tunda ni kupigana mikasi! Sir God alitaka yeye ndio aratibu zoezi la uzazi sema shetani akajitia much know kuvamia shughuli akapandikiza mbegu chafu! Kuanzia pale ni vizazi vya laana tu!