SISIS
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 11,128
- 3,742
Tumetoka mkoa na jamaa yangu anamiliki vitz cc1290 , sasa tunaksema kwa sababu tumepiga km 1200 si vibaya kumpelekea fundi afanye chekup ya oil na vitu vingine ila haikusumbua hata kidogo
Hapo gari imetoka kilimanjaro mlimani kule national park ina watu 5, kwenda na kurudi na njiani haikuwa na shida
Fundi kuiangalia tu kaanza hii gari masega hamna[emoji23][emoji23][emoji23] inatakiwa ikatwe iwekwe masega hee nkacheka nkasema vitz ibebe watu watano kutoka dar hadi kilimanjaro national park ikiwa na nguvu na haimiss wala kupoteza nguvu na ina mlio wake alafu masega yawe hamna how come?
Akasema tena sylnder head ya kufunguliwa ikazwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikacheka tena gari no E imetembea more than 1300km haikuchemsha wala nn ije ifunguliwe sylinder head na gasket tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikamwambia jamaa yangu hapa tuondoke
Sasa watu wengi huwa mnauliwa magari yenu sababu ya kuwaskiliza mafundi mafundi ni wezi anaweza kuta gari ina plug og akakushauri ubadilishe ili aweke feki zile og akauze
Fundi ni mtu ambae hata kama gari haina ugonjwa atatafuta sababu tu akuumize ni vyema watu wajifunze magari wenyewe