mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,626
Ukishafunga ndoa bomani si itabidi mpeane talaka, na mbeleni kabla ya kuoa na maishani mwako status yako itakuwa lazima mtu alie divorce. Ukitaka kwenda kuoa kanisani lazima utataja ya bomani etc
Sasa upo tayari kupitia yote haya na hata kujieleza kwa ndugu zako na za mke kama ukipata wa kumuoa.
Ila inaonekana unampenda huyu na ndio unataka kumsaidia, bila hivyo si unasema no tu. Na kama hawajai ishi mjini Dar hiyo itakuwa habari ingine.