Nimeombwa kuwa "Husband for hire"

Nimeombwa kuwa "Husband for hire"

Kwa mujibu wa mleta uzi,huyu dada ana mume!Na mume pamoja na mleta uzi wanakaa wote Dar anakotaka kuhamishiwa bi dada

hakuna sehemu niliyosema kuwa ana mume ila ni rafiki angu tumekuwa nae kitaa kimoja.

amepata kazi tabora na anataka kurudi dar kwa huo uhamisho
 
Habari zenu wakuu.

Nina rafiki angu (sio mpenzi, just a friend) mwalimu amepangiwa mkoani halafu porini sana.

Leo kaniomba twende tukafunge ndoa za bomani ili apate cheti akaombe transfer arudishwe Dar (kwa mume wake).

Akishahamishiwa Dar ndoa yetu inavunjika kila mtu na maisha yake.

Naombeni msaada wa kunieleza ndoa za bomani zinakuwaje.

Shukrani kwa msaada.

Hapo uliposema arudi Dar(Kwa mume wake),,tulielewa ana mume!Kama anafaa,oa tu mkuu awe mkeo achaneni na hizo fake marriage!Ukweli itakuja kuwa shida hapo baadaye,ndoa haivunjiki kwa kuchana vyeti!Itabidi ufanye taratibu mahakamani za kuvunja ndoa na nadhani inatakiwa kuwa baada ya miaka miwili baada ya kufunga ndoa!
 
Kama hana mume, basi ana akili kuliko aliyeombwa kuolewa.

Mie nawatakieni maisha mema ya ndoa itakayojaa masimango ya mmoja kuwa tricked siku za mbeleni.

Hana mume, yupo single Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kama hana mume, basi ana akili kuliko aliyeombwa kuolewa.

Mie nawatakieni maisha mema ya ndoa itakayojaa masimango ya mmoja kuwa tricked siku za mbeleni.

Sio rahisi mkuu
 
y asifunge ndoa na huyo mume wake na kama wamefunga si cheti anacho akitumie tu.

anachomaanisha mleta uzi ni kwamba anamsaidia huyo dada ili aonekane anamfuata mumewe Dar! Mbona mnakuwa wagumu kuelewa?
 
hakuna sehemu niliyosema kuwa ana mume ila ni rafiki angu tumekuwa nae kitaa kimoja.

amepata kazi tabora na anataka kurudi dar kwa huo uhamisho

Save your energy,siku hizi cheti cha ndoa hakina msaada kiasi hicho kwenye uhamisho.
Azichange tu na kutafuta watu wa kumsaidia.
 
Sasa kama ana mume aliyepo Dar, what is the point? Hawana cheti cha ndoa!!!
 
we nenda kafunge nae lakini mwambie ndoa haikamiliki bila tendo.. so akufanyie mishe
 
Mwambie hakuna habari ya kuhamishwa kituo cha kazi kwa sababu ya kufuata mwenzi siku hizi
Ataishia kupigwa kengele tu bila kutarajia
Unless mnataka mkulane bila mtongozo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom