The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Ataishia kupigwa ?Mwambie hakuna habari ya kuhamishwa kituo cha kazi kwa sababu ya kufuata mwenzi siku hizi
Ataishia kupigwa kengele tu bila kutarajia
Unless mnataka mkulane bila mtongozo
Ataishia kupigwa ?Mwambie hakuna habari ya kuhamishwa kituo cha kazi kwa sababu ya kufuata mwenzi siku hizi
Ataishia kupigwa kengele tu bila kutarajia
Unless mnataka mkulane bila mtongozo
weka mzee nimasaidie best angu. Nipo serious
Save your energy,siku hizi cheti cha ndoa hakina msaada kiasi hicho kwenye uhamisho.
Azichange tu na kutafuta watu wa kumsaidia.
Mwambie hakuna habari ya kuhamishwa kituo cha kazi kwa sababu ya kufuata mwenzi siku hizi
Ataishia kupigwa kengele tu bila kutarajia
Unless mnataka mkulane bila mtongozo
Kongosho hata mimi nimeuliza hilo swali lakini sijajibiwa!Je huyo mumewe na huyo mwalimu atajisikiaje mkewe anapofunga ndoa na jamaa mwingine?!
kuoa bado sana, hata hvyo sina feelings nae kabisa
wewe ni mfanyakazi wa serikali???Habari zenu wakuu.
Nina rafiki angu (sio mpenzi, just a friend) mwalimu amepangiwa mkoani halafu porini sana.
Leo kaniomba twende tukafunge ndoa za bomani ili apate cheti akaombe transfer arudishwe Dar (kwa mume wake).
Akishahamishiwa Dar ndoa yetu inavunjika kila mtu na maisha yake.
Naombeni msaada wa kunieleza ndoa za bomani zinakuwaje.
Shukrani kwa msaada.
Hakuna fomula ya kuanzisha feelings banaHapana The Boss
Huyu rafiki angu nilimwonea huruma sana alivyopangiwa huko Tabora ndanindani.
Hatuna feelings kabisa.
The easy way kutoka huko ndo hyo suggestion.
Original certificate nitakaa nayo yeye nitampa copy, akishahamishiwa dar naichana na kila mtu anaendelea na maisha yake,
Nilivyoelewa ni kuwa huyu mwalimu hajaolewa,
Anataka afunge ndoa na mtoa mada ili kukwepa hiyo transfer....akisharudi Dar kila mtu aendelee na maisha yake.
Haya mambo ndio yanafanya watu waulize hati ya muungano iko wapi?