Kuna vitu vinaudhi (ila labda ni wivu sababu zombie hajielewi:disapointed:)
Rafiki yangu kaolewa na golikipa, na golikipa kaoa mke wa 2 moa mwingine kwa siri siri, anaenda huko anakaa hata mwaka.
Mke kamtafytia kazi kakataa, anataka kutunzwa
Analalamika weeee, anaokoka weeeee, tukimshauri mara ooh, nimefunga sijui sala gani, mara ni msalaba, mara wanamme wote wasumbufu, mara watoto itakuwaje? Lame excuses.
Mie siku hizi najisemea, degree haina maana hadi uioneshe kwa vitendo
Ha ha ha, umenikumbusha mateja, ...'siku moja tutatoka tu' How? Still a mystry.