Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

na hatimaye kapata option anataka kumsukumia jamaa nje.inawezekana mwanzoni aliolewa kuondoa nuksi, na sasa kampata mume haswa.
Ni dunga yembe tu ambaye ringi lishakata sema anatapa tapa tu hapa...!!!!!
 
kwani kabla ya kuolewa naye ulikuwa hujui kuwa ni golikipa? ulitafuta.ushauri? .au kwanini hukukataa kuolewa naye.sasa.tukushauri nini.Ndo uamuzi liofanya.ulikubali kutake risk for him. Komaa naye.hatuna cha kukushauri hapo.mfungulie biashara afanye muendelee na maisha
 
Unajishaua tu bure hapa;
Unashindwa kuanzisha hata mradi wa familia
ili mumeo ausimamie?
 
Ukipenda boga penda na ua lake, awali ulipaswa ufanye uchunguzi na ulidhike na ndio ufanye uamuzi ila omba utafanikiwa na mumeo
 
Degree yako haijakusaidia.
Ila mumeo kaelimika pamoja na darasa lake la saba, akajua achague mke wa aina gani ili ale bata tu.

Abadilike amekuwa kinyonga?

Nina hasira na wewe maana rafiki yangu kaolewa na golikipa, anamtesa kama nini lakini kang'ang'ania tu, mnaudhi kama nini halafu na ushauri hamsikilizi, kazi kulalamika tu kwa matatizo yakujitakia.

Tena, bora aanze kutaka kubebwa mgongoni badala ya kutembea.

Mwambie hyoo....ulikuwa unataka ndoaeeh!!?
Ulilazimishwa?ss unalalamika nn?,km huwezi c umuache,asie na hela wa nn? Mwisho wa siku matatizo tu hayo ya kujitakia.
 
Pole sana dada, yaani umeniuzunishaje!!! Nasikia Kulia.
Hivi wewe mpaka ukaolewa na golikipa, std seven Ulilogwa?
Kwa nini wanawake hamjitambui jamani, umesomeshwa, una kazi yako ya maana kinachokufanya uamue kujitoa KAFALA ni nini? UMEJILIPUA rafiki. Kukata gani tamaa uko, mpaka haujui unataka nini huku duniani.
Ungekuwa karibu yangu NINGEKULABUA KIBAO.

Teh teh teh uwiiii...ungemulabua bao!!nimechekajeee
....aisee bora nikae tu huko ni zaidi ya kujilipua,lol
 
hizi ndio imani potofu kushinda zote duniani na ndio zinaua watu maskini ,nani kakuambia mungu anafanya kazi za kipumbavu namna hiyo???jisaidie nami nitakusaidia

Kabisaa my dia,
Kwanza Mungu anachukia umasikini
 
pambaffff..... pamoja na midigiliiii yako golikipa kakuzidi... mkiambiwa muwe mnapima kwanza kabla ya kuingia mnajifanya ujanja mnataka ndoa ndoa ndoa ndoa yamekukuta kama wewe ni mgalatia basi unalo hiloo mpaka kufa.
MUWE MNATEST KWANZA MZIGO KWA MUDA ILI UJUE NDO UINGIEMO.
 
If she has or faced demons, other people should drive it out.
Weeeeee.... Usione malalamiko hayo, wengine dushelele pekee ni digrii tosha... Usikute analabuliwa dushelele ya nguvu, mapaka anaona jamaa si LY tenaaa..
 
Wanawake kwa roho mbaya mbona sie tunawalea tunaishi na wa mama wa nyumbani.
 
You really need to think hard before you come out with such 'nonsense'!
kama ulivoulizwa awali na wachangiaji:
Je, hukujua kama ni mtu wa elimu ya chini?
Hukujua changamoto zilizo katika mahusiano hasa ya ndoa mwenzi wako anapokuwa hana kipato?
Hukujua tofauti ya kimtazamo (disparity in perspective) hasa inayotokana na upeo tofauti (ukizingatia tofauti ya elimu - ceteris paribus) katika kuchambua mambo na mtazamo wa kimaisha? Au, 'mshikaji' ni mtaalamu ktk yale mambo ya ngono kiasi kwamba hukufikiria mara mbili alivotangaza ndoa (au ulivoitaka ndoa???).

Grow up!
If you are lawfully married, then you are MARRIED to this gentleman. Ni msalaba wako, find a way of turning his shortfalls into something useful. It ain't easy, did I hear someone say it is easy? Hell, like so many things in life, you need to brace yourself and soldier on, honey! He was your sweet pie once, he can still be your honey bunny once more... play it right!

All the best,
PP
 
pambaffff..... pamoja na midigiliiii yako golikipa kakuzidi... mkiambiwa muwe mnapima kwanza kabla ya kuingia mnajifanya ujanja mnataka ndoa ndoa ndoa ndoa yamekukuta kama wewe ni mgalatia basi unalo hiloo mpaka kufa.
MUWE MNATEST KWANZA MZIGO KWA MUDA ILI UJUE NDO UINGIEMO.
Mkuu, umesahau kuwa ndege mjanja hunaswa na tundu bovu!!!!!!!!!!!!huyu kanasa kwenye tundu bovu eti.
 
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye anachotaka nimhudumie vyoote. Na mtu mwenyewe hata mapenzi hana ila anachotaka ni kuheshimiwa kama anapita Obama. Je? Nimuache au niendelee kumvumilia labda Mungu atambadilisha siku za usoni? Nisaidieni wenzangu

ulipoamua kufunga nae ndoa ulikua hujui ni golikipa?ulikua hujui ni standard seven?ndo wako huyo wala usimuache
 
degree..? Degree yako umeipata kariakooo,mwenye degree haandiki utumbo kama huo,tambua degree haitunzi mume mjinga wewe,kaeni chini muyaongee muyamalize,daily nasema mkifunga ndoa wakati hamja baleghe vizuri haya ndo matatizo yanayo tokea,nenda kwamweleze mshenga ilo povu.

hahahahaaaa uuuwi mbafu zangu mieeeee
 
Degree yako haijakusaidia.
Ila mumeo kaelimika pamoja na darasa lake la saba, akajua achague mke wa aina gani ili ale bata tu.

Abadilike amekuwa kinyonga?

Nina hasira na wewe maana rafiki yangu kaolewa na golikipa, anamtesa kama nini lakini kang'ang'ania tu, mnaudhi kama nini halafu na ushauri hamsikilizi, kazi kulalamika tu kwa matatizo yakujitakia.

Tena, bora aanze kutaka kubebwa mgongoni badala ya kutembea.

Dah dont panic
 
kwa haya majibu/comment...mtoa mada atathubutu kurudi hapa kujibu maswali?
 
Back
Top Bottom